Crystal clear
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 809
- 335
Nimeipenda hiiYawezekana hata baba zetu hawakua na ndoto na mama zetu lakini walivumilia na kutulea adi Leo hii tupo hapa tulipo,,,,,Lea tu mimba na mtoto akizaliwa hakuna utakachopungukiwa
Nimeipenda hiiYawezekana hata baba zetu hawakua na ndoto na mama zetu lakini walivumilia na kutulea adi Leo hii tupo hapa tulipo,,,,,Lea tu mimba na mtoto akizaliwa hakuna utakachopungukiwa
Aende kumuona Makonda fastaKishaongezeka single mother mwingine..na nyie wadada muwe makini sn linapokuja suala la kubeba mimba wengi wa single mother huwa wanabeba mimba bila kuwa wameongelea suala hilo na wanaume matokeo yake ndio haya.
Baba mwenyewe ndio huyo tia maji tia maji wanaweza kumuacha mtoto akaja teseka sana hapo baadaeKwa nini waitoe?! Yeye angetolewa ingekuwa vipi?!
Wameshafanya dhambi ya uzinzi, bado waongeze dhambi ya mauaji?! Huyo mtoto hana hatia, wasimhukumu kwa uzembe wao!!
Tena ukute wakati anammwagia wala hakuwaza matokeo yake wanaume sijui tupoje akili zetu zikishahamia kichwa cha chini inakuwa taabu tupu
Ndio maana siku zote huwa nakataa ,hakuna mtoto anayezaliwa kwa bahati mbaya kwakuwa matokeo ya kubanjuana yanajulikanana kuna mambo mengine hayajaribiwi haya ndo matokeo yake
Kha! Wewe ni noma. Umeuaaa. Ila ombea kikombe kama hiki kikuepuke! Ni khatarii.*
1. Mwanamke wa ndoto yako yukoje?
*Angekuwa mwanangu huyo ungemuoa hata km ungeandamana uchi. Ukikataa lbd uhame duniani ukaishi mwezini au sayari tofauti na dunia.
Baba akikimbia sio sababu ya mama kuutoa ujauzito!! Ni wengi sana wamelelewa na mama bila msaada wa baba zao!Baba mwenyewe ndio huyo tia maji tia maji wanaweza kumuacha mtoto akaja teseka sana hapo baadae
Wadau naombeni ushauli kuna binti huyo alikuwa kama rafiki yangu na tulizoeana kama marafiki wa karibu tuu .
Sasa siku moja alikuja ghetto kunitembelea mida ya kama saa tatu akiniomba nimsaidie kuhusu simu yake ilikuwa inamsumbua basi mi niliangaika kuitengeneza ikawa ikoo vizuli tuu kwa kuwa muda ulikuwa umeenda aliniomba kulala kwangu kwa sasa anaogopa wezi na vibakaa.
Basi bana kilichokuja kutokea usiku wa manane nikajikuta usiku wa manane nimekula mzigo sasa leo hiii kaniambia ana mimba yangu na mimi nilikuwa kipindi hiki nimejipanga nisizae kabisaaa wala kuwa mtoto hili gomaa limekuja sijajipanga halafu huyu mdada hakuwa mpz wangu kabisaaa.
Hahahahahahahahahahaha dah nimecheka sanaMkuu WATANZANIA Wengi tunaishi nje kabisa ya ndoto zetu tulizojiwekea tangu tunasoma shule ya msingi mpaka vyuo na tunafanya kazi ambazo hatukuwahi fikiria kama tutakuja kuzifanya.
Cha msingi sasa we muoe tu huyo ndiyo wa ndoto zako sasa oa mkuu .
Upo sahihi kabisaKwa nini waitoe?! Yeye angetolewa ingekuwa vipi?!
Wameshafanya dhambi ya uzinzi, bado waongeze dhambi ya mauaji?! Huyo mtoto hana hatia, wasimhukumu kwa uzembe wao!!
Hahahaha, mkuu baba ni fundi wa simu usisahau hilo pia kwa hiyo anajimudu hahahahahahaBaba mwenyewe ndio huyo tia maji tia maji wanaweza kumuacha mtoto akaja teseka sana hapo baadae
kabisa yaan usikute na chips alinunua ni kuwa walidhamiria hahhaNdio maana siku zote huwa nakataa ,hakuna mtoto anayezaliwa kwa bahati mbaya kwakuwa matokeo ya kubanjuana yanajulikana
Chukua mke mlee mtoto, hayo mambo yashatokea huna jinsi.Wadau naombeni ushauli kuna binti huyo alikuwa kama rafiki yangu na tulizoeana kama marafiki wa karibu tuu .
Sasa siku moja alikuja ghetto kunitembelea mida ya kama saa tatu akiniomba nimsaidie kuhusu simu yake ilikuwa inamsumbua basi mi niliangaika kuitengeneza ikawa ikoo vizuli tuu kwa kuwa muda ulikuwa umeenda aliniomba kulala kwangu kwa sasa anaogopa wezi na vibakaa.
Basi bana kilichokuja kutokea usiku wa manane nikajikuta usiku wa manane nimekula mzigo sasa leo hiii kaniambia ana mimba yangu na mimi nilikuwa kipindi hiki nimejipanga nisizae kabisaaa wala kuwa mtoto hili gomaa limekuja sijajipanga halafu huyu mdada hakuwa mpz wangu kabisaaa.
Hahahaha, no one knows tommorow, unapanga hili leo kesho kinatokea kingine tofauti kabisa hahahahahaHahahahahahahahahahaha dah nimecheka sana
Hahahaa. Cheka tu mdogo wangu.hahhah nimecheka dada
Baba hamfurahii mtoto kabisa yaniHahahaha, mkuu baba ni fundi wa simu usisahau hilo pia kwa hiyo anajimudu hahahahahaha
Ha ha ha hahaaaa nice comment mkuu*Halafu baadae utakuja kusema haoi single mother
1. Mwanamke wa ndoto yako yukoje?
Baada ya kula papuchi tena kavu kavu unasema huyo siyo wa ndoto yako. Acha utani ndugu. Unatesa sana viumbe wa Mungu kwa ujinga wenu. Ungebaniwa papuchi ungelalamika siku nzima.
Angekuwa siyo wa ndoto yako wala usingelala naye kitanda kimoja, ungemuachia kitanda ungeenda kulala kwa washikaji au ungemchukulia chumba guest house.
*Ukilala na mwanamke kavu kavu huyo ndiyo ndoto yako kwasbb baada ya tendo mimba, baada ya hapo mtoto. Huyo ndiyo ndoto yako mr. Hebu chukua mkeo umtunze
*Angekuwa mwanangu huyo ungemuoa hata km ungeandamana uchi. Ukikataa lbd uhame duniani ukaishi mwezini au sayari tofauti na dunia.