Ushauri: Nimempa mimba binti ambaye si wa ndoto zangu

Kishaongezeka single mother mwingine..na nyie wadada muwe makini sn linapokuja suala la kubeba mimba wengi wa single mother huwa wanabeba mimba bila kuwa wameongelea suala hilo na wanaume matokeo yake ndio haya.
Aende kumuona Makonda fasta
 
Wadau naombeni ushauli kuna binti huyo alikuwa kama rafiki yangu na tulizoeana kama marafiki wa karibu tuu .

Sasa siku moja alikuja ghetto kunitembelea mida ya kama saa tatu akiniomba nimsaidie kuhusu simu yake ilikuwa inamsumbua basi mi niliangaika kuitengeneza ikawa ikoo vizuli tuu kwa kuwa muda ulikuwa umeenda aliniomba kulala kwangu kwa sasa anaogopa wezi na vibakaa.

Basi bana kilichokuja kutokea usiku wa manane nikajikuta usiku wa manane nimekula mzigo sasa leo hiii kaniambia ana mimba yangu na mimi nilikuwa kipindi hiki nimejipanga nisizae kabisaaa wala kuwa mtoto hili gomaa limekuja sijajipanga halafu huyu mdada hakuwa mpz wangu kabisaaa.

KATAFUTE USHAURI KWA WAHUNI WENZAKO
 
Chukua mke mlee mtoto, hayo mambo yashatokea huna jinsi.
 
*Halafu baadae utakuja kusema haoi single mother
1. Mwanamke wa ndoto yako yukoje?
Baada ya kula papuchi tena kavu kavu unasema huyo siyo wa ndoto yako. Acha utani ndugu. Unatesa sana viumbe wa Mungu kwa ujinga wenu. Ungebaniwa papuchi ungelalamika siku nzima.
Angekuwa siyo wa ndoto yako wala usingelala naye kitanda kimoja, ungemuachia kitanda ungeenda kulala kwa washikaji au ungemchukulia chumba guest house.
*Ukilala na mwanamke kavu kavu huyo ndiyo ndoto yako kwasbb baada ya tendo mimba, baada ya hapo mtoto. Huyo ndiyo ndoto yako mr. Hebu chukua mkeo umtunze
*Angekuwa mwanangu huyo ungemuoa hata km ungeandamana uchi. Ukikataa lbd uhame duniani ukaishi mwezini au sayari tofauti na dunia.
Ha ha ha hahaaaa nice comment mkuu
 
Back
Top Bottom