Ushauri: Nimempa mimba binamu yangu

Muda mwingine majina huakisi namna ulivyo, sishangai hata
 
wanaume bwana eti umepigwa Changa...mnaniudhiiii...Kwan condom shingapi??? mnapenda kugegeda ila matokeo yake eti mmepachikiwa...tooo bad...na usikute huyo dogo ni denti...17 yrs ..ulikosa mwanamke mpka ukashuka kwa cousin
 

1. Kipimo cha DNA baada ya mtoto kuzaliwa ndio kitajibu swali hilo.

2. Kitendo cha kutoa ujauzito ni sawa na mauaji, na dhambi hiyo ukiifanya itakuandama sana usipotubu.
 
ushauri;mwambie arudishe mimba yako
 
wewe si umekufa? Hebu baki huko huko kuzimu
 
we utakuwa unaandika ukiwa kuzimu. ndio maana nlifungua Uzi maandishi yakawa juu chim
 
Et u naomba ushaur wakati ushafanya maamuz ya kuichomoa kufuta aibu,tukushaur nn sasa! Apo????
 
Kajisalimishe Polisi uliofanya no uhalifu tena unaongelea kwa lugha ya kebehi na dhihaka, Kama nimekusikia vizuri ulichezea wengi. Ungejisikiaje angekuwa ni binti yako?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…