Ushauri: Nimemkuta na SMS za kimapenzi za mwanaune mwingine

Habari za siku humu wadau,.
Ninamchumba ila Jana nimekuta SMS za kimahabamahaba katika cm yake ,kimsingi sipendi kukagua cm yake bahati mbaya akasahau bila kufuta mambo yake akaniambia nimsaidie kutengeneza cm yake SMS haziingii kwenye cm yake, sasa wakati na irekebisha kuingia katka recicle bin ya cm nikakuta SMS za mahaba na mtu mwingine nje na mm kimsingi nilipomwambia alidai nimsamehe nikawaza nikamwambia sawa ila naombeni ushauri nimwache au nifanyeje maana kama kichwa kinavurugika hivi.
Simu gani zina recycle bin ?
 
Achana naye kabisa.
Siku hizi hata kama sina malengo na msichana ila sikubali kuchangia.

Mpaka inafikia unagundua hayo,tambua uko kwenye hatua mbaaaya.
Inamaana kama usingegundua ungechapiwa mwanzo mwisho.

Ilikuwa haina haja ya kuomba ushauri.
Kwenye usaliti huwa sina huruma kabisa hata vitasa naweza kukupatia.

Nisichopenda kumfanyia mtu sipendi nitendewe.
Msaliti ni msaliti tu. No other way. Mm kosa kama hilo ni break up. Maana mtu mpaka anakusaliti alidhamiria kabisa, hakuna bahati mbaya kwenye usaliti
 
Back
Top Bottom