Ushauri; nimekutwa na UKIMWI... Bora nife tu.

Ushauri; nimekutwa na UKIMWI... Bora nife tu.

max 255

Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
24
Reaction score
19
Habari zenu wakuu,

Mimi ni kijana ,24 ...nimekuja hapa mjini tangu 2014, nikitokea kijijini kwetu mtwara. Hapa skua na ndugu hata mmoja Ila nmehaso angalau nimepata kibanda cha kuegesha mwili ucku na mishe za hapa na pale ili niweze kula.

Vhela kdg vlivyobak , km mjuavyo cc vjana mfuko ukijaa kdg ni mwendo wa kuzitafuna na madem.

Bwana bwana, yamentokea puani,cjui ni nan kat ya hawa madem zangu, lkn juzi nlkua naumwa nkaenda hosptali nkidhan malaria , c nkapima na ukimwi bana...Dah... Nimenasa kwa kweli.

Cfikrii kurudi nyumbani , maisha ya kule ni magumu sana,...na kanisani ndo kabisaa hata ckumbuk mara ya mwisho kwenda ni lini.

Huku magetoni kila mtu kivyake...na cdhan km ntaweza kuwajulisha kuhusu hili jambo....labda cku wakikuta nimeshadedi

Msaada jamani wakuu
 
Kuna watu hawana maambukizi kama wewe, watatangulia kufa kabla yako. Nnachotaka kusema ni kwamba, kukutwa na maambukizi sio mwisho wa Maisha.

Usingeambiwa una maabukizi, hakuna badiliko kubwa sana ambalo lingekua linakusumbua, kinachokupa shida kwa sasa sio ugonjwa ila ni mawazo na hisia, ugonjwa ulikua nao na hauja wahi kuwa tatizo kubwa kiasi hicho.

Pole sana, lakini kumbuka una nafasi ya kufanya mambo mengi makubwa sawa na ambae hajaathirika.
 
siyo mwisho wa dunia mkuu. ukifuata ushauri wa namna ya kuishi na kula unaweza kuishi miaka mingi tu na wanaokuzunguka wasijue, labda uwaambie.
 
Habari zenu wakuu,

Mimi ni kijana ,24 ...nimekuja hapa mjini tangu 2014, nikitokea kijijini kwetu mtwara. Hapa skua na ndugu hata mmoja Ila nmehaso angalau nimepata kibanda cha kuegesha mwili ucku na mishe za hapa na pale ili niweze kula.

Vhela kdg vlivyobak , km mjuavyo cc vjana mfuko ukijaa kdg ni mwendo wa kuzitafuna na madem.

Bwana bwana, yamentokea puani,cjui ni nan kat ya hawa madem zangu, lkn juzi nlkua naumwa nkaenda hosptali nkidhan malaria , c nkapima na ukimwi bana...Dah... Nimenasa kwa kweli.

Cfikrii kurudi nyumbani , maisha ya kule ni magumu sana,...na kanisani ndo kabisaa hata ckumbuk mara ya mwisho kwenda ni lini.

Huku magetoni kila mtu kivyake...na cdhan km ntaweza kuwajulisha kuhusu hili jambo....labda cku wakikuta nimeshadedi

Msaada jamani wakuu
Sidhan kama ni kweli

Kama ni kweli pole fungua kurasa ingine ya maisha Ukimwi sio kifo
 
pole meza arv tu mkuu na kazana na balance diet, acha ngono zembe, kikubwa tafuta mwenza kama wewe mlisongeshe maana lasivyo utajiua kweli kwa upweke huna ndugu wala jamaa wa kuwa nao karibu.
 
mungu hujibu maobi yetu hivo akiobewa anaweza kupata kibari kwa mungu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom