Ushauri: Nimekosa Kazi nahitaji kurudi shule

Ushauri: Nimekosa Kazi nahitaji kurudi shule

unaenda kusoma baada ya kugundua unacholipwa ni kidogo badala ukae chini ufikiri namna gani unaweza kutengeneza pesa nyingne njee ya kazi zako.apo unacho kifanya unakimbia tatizo badala ya kutatua tatizo mtafute joel nanauka ana vitabu vyake anaweza kukusaidia
 
Back
Top Bottom