Ushauri: Nimekosa Kazi nahitaji kurudi shule

muoga wa jf

Senior Member
Joined
Jun 27, 2016
Posts
198
Reaction score
225
Habari,

Mimi ni kijana niliyefanikiwa kuhitimu diploma ya uuguzi na ukunga.

Na nimeweza kufanya kazi sehemu mbalimbali kwenye mashirika na hospitali binafsi na serikalini.

Kiukweli nimekuwa nikisuffer Sana na kutafuta kazi ya kudumu ili niweze kufanya maisha maana hela ninayopata inanitosha kula na kusubiri mshahara ujao.

Nimepata wazo la kurudi shule nikasome bachelor ya anesthesia au physiotherapy.

Je, ipi course bora kati ya hizo kwa sasa? Kuna possibility ya kupata mkopo sijajiandaa kujisomesha?
 
Mshahara unaopata unakutosha kula na kunywa??... Mimi nadhani ukasomee Financial Management Coz kama unashindwa kumanage mshahara wa Diploma sidhan kama utaweza kumanage Mshahara mkubwa!! Jitathmin!
 
Umefanya kazi serikalini, harafu unasuffer sana kutafuta kazi ya kudumu, ni wapi utapata kazi ya kudumu zaidi ya serikalini? any way ushauri jaribu kuomba vyote, mkopo na chuo na kozi halafu uone kama utapata, ukifanikiwa nenda.
 
Serikali ilikuwa kazi ya mkataba
 
Mshahara unaopata unakutosha kula na kunywa??... Mimi nadhani ukasomee Financial Management Coz kama unashindwa kumanage mshahara wa Diploma sidhan kama utaweza kumanage Mshahara mkubwa!! Jitathmin!
Nalipwa laki 3 boss
 
Kasome physio, utanishukuru baadae.

Its an emerging field
 
Habari,

Mimi ni kijana niliyefanikiwa kuhitimu diploma ya uuguzi na ukunga.

Na nimeweza kufanya kazi sehemu mbalimbali kwenye mashirika na hospitali binafsi na serikalini.

Kiukweli nimekuwa nikisuffer Sana na kutafuta kazi ya kudumu ili niweze kufanya maisha maana hela ninayopata inanitosha kula na kusubiri mshahara ujao.

Nimepata wazo la kurudi shule nikasome bachelor ya anesthesia au physiotherapy.

Je, ipi course bora kati ya hizo kwa sasa? Kuna possibility ya kupata mkopo sijajiandaa kujisomesha?
Umemaliza mwaka gani mpaka umechoka kusubiri ajira
 
Kubwa sana hiyo kijana,mimi nalipwa 257,000 maisha yanasonga,acha kulia lia,wewe huna mke,mimi Nina mke na watoto wawili,sasa ninajenga kijumba changu cha vyumba 3, na nasomesha watoto wangu shule za pesa.

Look very!!!
Uongo
 
Back
Top Bottom