miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,821
- 48,973
Mwanzo walikuwa wanaishi wapi?
hivi kweli kabisa unapeleka mke na watoto watatu kwa shemeji yako .hakuwa na option nyingine kabisa? halafu akakimbia eti .hahahahaaha imebidi nicheke kama mazuri.........wanaume wengine mizigo haswa
Hapo sasa utafikiri alimwolea mtu mwingine badala apambane na hali yake anahamisha matatizo.hivi kweli kabisa unapeleka mke na watoto watatu kwa shemeji yako .hakuwa na option nyingine kabisa? halafu akakimbia eti .
Au jamaa katoroka kaamua kufata NOAH yake mapema ndiomaana kaacha familia!!!....l anxiously prefer a black noah 'kwelikweli'
DuuuhSamahani sana kwakukuambia hili ww una roho mbaya sana tena huna hutuma chukulia ndg zako wamekuja hapo kuishi kwako utalalamika hivyo ?mbona inaonekana wa ajabu sana lkn kingine utalalamika sana he wangekuwa 7 wacha hayo lkn pia hutoiona baraka kwa staili hiyo kama unaumia sana wafukuze ili jamii ielewe umetaka ushauri bado malalamiko we waajabu sana mkuu.
Mwambie jamaa ukweli wote bila chenga, aje abebe familia yake, usimumunye maneno, au kama vipi nipatie namba zake nikusaidie kumpasha
Wasukuma wana taabu sana