Mkuu hiyo kitu haifanyi kwa haifanyi kazi kwa vista ila nachoweza kukusaidia ni ushauri mzuri pia nitakuonyesha inavyofanya kazi hiyo
Windows 7 anytime Upgrade
1. Kwanza upgrade windows Vista to Service pack 1 ambayo utaikuta kwenye windows updates kama hauna uhakika unaweza kucheck version yako ya windows na kuona kama tayari ipo kwenye SP1 kwa kuingia Properties za My Computer
2. Sasa tafuta
CD yako ya windows 7 halafu anza installation process.
NOTE.... Pliz kwenye option ya Custom installation usiende ila ingia kwenye option ya UPGRADE mkuu. Basi hapo PC inaweza kufanya calculation zake then ina upgrade.
Hii kitu haitafanya changes kwa data zako wala softwares unless kama kuna software haipo compatible na Windows 7 itakwambia then itabidi utafute ambayo ni compatible mkuu. Ila soft nyingi za Vista au drivers nyingi za vista huwa ni compatible na Windows 7.
3. Ukimaliza kuinstall hiyo windows 7 kama sio version unayotaka lets say umekweka Home premium na unataka Proffession au Ultimate au una pc ina starter kama ya jamaa hapo juu(mlalamikaji) Hope hakuformat pc yake na he is lucky, pia unaweza kutumia hii trick ya
windows anytime upgrade.
> Click start button search for this key word.....anytime..... the program will come out the run it
Then enter an ugrade key from a keygen
Windows anytime upgrade keygen
Enter the keys then click next .... follow positive instruction then UR DONE it will upgrade then it will restart.