Ushauri: Nilizaa nae akaolewa ila ananirudia ananiomba matumizi

Haki ya Nani hii ndio hazina ya CCM, sikuwahi amini kwa umri wako unaweza andika utumbo kama huu!! CCM kuna laana gani?
CC Erythrocyte Nicholas

Sent using Jamii Forums mobile app
We kamanda vipi?
Ukamanda unamuachia Mbowe avinjari Dubai na yule mbunge wenu au vipi!
Mandela alichukua dogodogo Graca Machel akiwa na umri wa zaidi ya miaka 80, na mita zinasoma!
Kana mita zako zina kasoro usisingizie pipoooooz!
 
Mtoto ana umrii gani?,mkeo ushamjulisha kuwa una mtoto?? Kama bado mjulishe, na kama ashafikia umri wa kukaa na baba yake mchukue...
 
Mi si kijana mudogo lakini katika ngano za mapenzi nimo!

Nina mpenzi wangu na imezaa naye mtoto, ila familia yangu katu haifahamu isipokuwa wachache sana. Na kwa kweli huyu bibie si tu nampenda , ila ni musweet sana, umbo poa sura nzuri sana na hata (wo)3 ni poa kabisa.

Sasa huyu sumolu hausi akaamua kuolewa vile vile na ikawa afadhali kwangu maana iliniondolea majukumu mengi iidogo.

Lakini cha kushangaza huyu bibie ananirudia rudia kwa kila kitu kuanzia kodi ya nyumba hadi matumizi ya nyumbani.

Kijana mwenziwe wanagombana kwa vile mshiko hautoshi. Sasa hii imenikera maana nakuwa kama natunza bado familia mbili.

Nashindwa kumtolea nje kwa sababu ya mtoto wangu, lakini cha moto nakiona bulungutu linavyonitoka.

Wanawake hasa, hebu nishaurini!
Kwani umemuacha au nakula kisirisiri?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom