44mg44
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 2,135
- 2,142
Wadau kama heading inavyoeleza, mimi kuna kipindi nilikuwa na mahusiano na single mother kabla sijaoa, ambaye amefankiwa kunizalia mtoto.
Baadae kidogo nikaoa msichana mdogo ambaye ndo mke wangu wa maisha.
Nimekaa natafakari kuwa huyu single maza namwachaje? Je, nimuoe awe mke mdogo?
Nipo njia panda wadau, ushauri wenu ni muhimu sana.
Karibuni sana wadau.