Ushauri: Nilikuwa na uhusiano na single mother, sasa kanizalia mtoto, je nimuoe awe mke wa pili?

Wadau kama heading inavyoeleza, mimi kuna kipindi nilikuwa na mahusiano na single mother kabla sijaoa, ambaye amefankiwa kunizalia mtoto..

Baadae kidogo nikaoa msichana mdogo ambaye ndo mke wangu wa maisha.
Nimekaa natafakari kuwa huyu single maza namwachaje? Je nimuoe awe mke mdogo??? Nipo njia panda wadau, ushauri wenu ni muhimu sana!!!! Karibuni sana wadau.
Mkeo anasemaje? Yeye ndio wa kumuuliza sio wana JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Braza namim nipo kwenye mahusiano na singo maza mbaya sina mpango wa kuzaa nae mtoto au kumuoa unanishaurije?
 
Tatzo huwa ni ndugu ndo wanapga vita sana kuwaoa hawa single maza
 
Back
Top Bottom