kifutu malikidwete
Member
- Nov 8, 2017
- 22
- 12
Msaada anaejua njia za Asili kupunguza mwili uzito na tumbo Nina kilo112 umri 24yrs msaada nfanyeje nakuwa mzito kinoma uvivu na kuchoka
Kuna njia rahis sana ya kupunguza, hakuna kushida na njaa na sio lazma mazoezi, ukiitaji nichek nikupe doctor flan nina ushahidi wa watu 2 waliosaidiwa nae na sasa wanapiga modo kama kawaMsaada anaejua njia za Asili kupunguza mwili uzito na tumbo Nina kilo112 umri 24yrs msaada nfanyeje nakuwa mzito kinoma uvivu na kuchoka
Kimbia sana asee n haswa sehemu za milimani.... Kama upo dar poleMsaada anaejua njia za Asili kupunguza mwili uzito na tumbo Nina kilo112 umri 24yrs msaada nfanyeje nakuwa mzito kinoma uvivu na kuchoka
Dahhh mdogo wangu miaka 24 kg 112....uwiiiiii piga zoezi kwa sana jitahidi kila unapohisi njaa kula matunda mdogo wangu mwehhh!Msaada anaejua njia za Asili kupunguza mwili uzito na tumbo Nina kilo112 umri 24yrs msaada nfanyeje nakuwa mzito kinoma uvivu na kuchoka
ThnxFanya mazoezi ya kukimbia kila siku at least mzunguko unaokamilisha km 3 japo mazoezi ya kukimbia yanafanya rate ya Kula iongezeke japo sio tatizo kubwa afu kunywa maji ya moto au uvuguvugu asubuh au jion au kama unaweza mda wwt utakusaidia .
Ni gradual change usije ukakimbia Mara moja ukakaa ukafikiri ndo umemaliza fanya kama desturi yako
Mungu anakuona dada....Duh hii kweli kifutu... Pole
Ngashtuka, machale kundesaa!Kuna njia rahis sana ya kupunguza, hakuna kushida na njaa na sio lazma mazoezi, ukiitaji nichek nikupe doctor flan nina ushahidi wa watu 2 waliosaidiwa nae na sasa wanapiga modo kama kawa
Kostuka ki?? Ngandye nta 100 (sitaki hata 100)Ngashtuka, machale kundesaa!