Ushauri nifanyeje nipunguze unene na kitambi

Hili jukwaa ni la madaktari, mleta anataka majibu nyie mnaleta upuuzi, sio kila mada lazima upost ujinga na kama huna la maana bora ukae kimya na uwaachie wenye ujuzi, sawa?
Kwani alipokuwa anautengeneza huo mwili akikuja kuomba ushauri? Why hakuchukua tahadharia kabla hatari haijamfika? Kuongezeka kwa mwili sio ghafla, lazima alininotice mabadiliko lakini akauacha hadi amekuwa kifutu
 
Back
Top Bottom