Ushauri: Nifanyeje apate mimba ili nimuoe?

Mar 21, 2018
35
6
Mimi hua nikipendana na mwanamke, akianza kunipa mzigo jua hapo amenitikisa. Yaani kwa wiki tunafanya siku 6 na nisha koma kukojoa nje.

Yani nikikojoa ni ndani kwa ndani. Ila hashiki mimba. Na mimi niya yangu abebe mimba ili nimuoe ila imeshindikana.

Nifanye nini?
 
Iyo pia nisababu ya kutompa mimba ,maana unamwagia vimbengu vichache na vya kipuuzi ambavyo havijakomaa vizuri .

Jua mzunguko wake

Usex sanaaa acha shahawa zikomae vizuri ,mkule siku za mimba ,kitu kitaingia.
 
Back
Top Bottom