Wakuu naomba msaada wa mawazo kidogo; nilikua na kazi kwenye taasisi moja hapa nchini lakini nikiwa pale, kipato changu kikubwa kilikua kinatokea kwenye side hustles zangu sana japo na mshahara haukuwa sio mdogo sana (take home $1,200). Hizi side hustles nilikua nafanya kazi km expert kwenye taasisi na makampuni tofauti tofauti Tanzania.
Hizi side hustles nilizianza baada ya kupiga masters kutoka kutoka moja ya vyuo vikongwe hapa nchini mwaka zaidi ya saba iliyopita
Sasa taasisi niliyokua naifanyia kazi imefunga shughuli zake Tanzania, so kwa sasa nitakua nimepata muda free as nitaendelea na side hustles zangu japo sitakua na permanet job. Kwa sasa nimepiga side hustle flani nikapata kiasi flani ya pesa karibia $13,000. Sasa nikawaza, ili kubaki kwenye peak ya pyramid niongeze elimu ya juu kutoka Uzamili (Masters) hadi Uzamivu (PhD), hii ni kuongeza tu umahiri kwenye shughuli zangu maana baadhi za taasisi nazozifanyia kazi km sxpert ni za UN.
Program yenyewe ya PhD ni ya 3-4 years, naamini nikiwa nikijiunga nayo nitakutana na fursa zingine tena, huenda zikanisukuma kwenda mbele.
Kwa wale mliopiga masomo ya uzamivu kwa kujilipia, kiasi cha hele nilichonacho naweza kamilisha ndoto yangu au niendelee na mishe zingine tu?
Note: Masters pia nilisoma kwa kuunga unga (nilijilipia nikiwa na sina kazi maalum pia) tu but baada ya kumaliza nilipata deals zilizobadilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa. Pia field yangu ni ya Sayansi, sio masomo ya sanaa na utafiti wangu wakati wa masters nilifanya molecular biology.
Asanteni.