Nenda naye mkatoe sadaka ya Shukrani kwa imani yenu achana na vitu vya ulimwengu upitaoNi mtt wa kiume wa darasa la pili anasoma medium school,hii ni mara yake ya 6 anashika nafasi ya kwanza tangu ameanza shule,na sijawahi hata mara moja kumtunuku zawadi tokana na kipato duni.
Leo nimeamua niwashirikishe wadau ili mnipe ushauri wa zawadi ndogo inayomfaa na ya gharama ndo kwa ajili ya kumtia moyo baada ya kuwa tena wa kwanza kwa mara nyingine.
Naombeni michango yenu wazazi wenzangu.
Hapa unamaanisha nini Mkuu?na sijawahi hata mara moja kumtunuku zawadi tokana na kipato duni.
KOMAA ZAWADI NI KUMJUA MUNGU ZAIDI NA SHULE TU.Ni mtt wa kiume wa darasa la pili anasoma medium school,hii ni mara yake ya 6 anashika nafasi ya kwanza tangu ameanza shule,na sijawahi hata mara moja kumtunuku zawadi tokana na kipato duni.
Leo nimeamua niwashirikishe wadau ili mnipe ushauri wa zawadi ndogo inayomfaa na ya gharama ndo kwa ajili ya kumtia moyo baada ya kuwa tena wa kwanza kwa mara nyingine.
Naombeni michango yenu wazazi wenzangu.
Ahsante sana nduguWatoto huwa hawapendi vitu vikuubwa..Mtafutie hata shati,suruali,saa umpatie then umuambie akifanya vizuri zaidi utampa zawadi kubwa zaidi. Atajituma,hongera kwa kuwa na mtoto kichwa mana kuna wengine watoto vichwa ubuyu tu.
Unadhani anahitaji zawadi kubwa? Lah.. mpe zawadi ilivyo ndani ya uwezo wako, tafuta muda kaa naye mkiwa peke yenu mwambie maneno ya kumtia moyo kuhusu kusoma.Yaani sjawah kabisa kumzawadia japo anafanya vizur mitihani yake
NENO BORA KABISA HILI...Kuwa tu baba bora. Baba bora siku zote wanajua watoto wao wanapenda na kuhitaji vitu gani.