Ushauri: Ni zawadi gani nimzawadie mwanangu?

Gibiba

Senior Member
Jun 22, 2016
114
27
Ni mtt wa kiume wa darasa la pili anasoma medium school,hii ni mara yake ya 6 anashika nafasi ya kwanza tangu ameanza shule,na sijawahi hata mara moja kumtunuku zawadi tokana na kipato duni.

Leo nimeamua niwashirikishe wadau ili mnipe ushauri wa zawadi ndogo inayomfaa na ya gharama ndo kwa ajili ya kumtia moyo baada ya kuwa tena wa kwanza kwa mara nyingine.

Naombeni michango yenu wazazi wenzangu.
 
Nenda naye mkatoe sadaka ya Shukrani kwa imani yenu achana na vitu vya ulimwengu upitao
 
Magic Mug

May it be a fake newspaper or a
mouse pad or a mobile case!!
 
Watoto huwa hawapendi vitu vikuubwa..Mtafutie hata shati,suruali,saa umpatie then umuambie akifanya vizuri zaidi utampa zawadi kubwa zaidi. Atajituma,hongera kwa kuwa na mtoto kichwa mana kuna wengine watoto vichwa ubuyu tu.
 
Ni mtt wa kiume wa darasa la pili anasoma medium school,hii ni mara yake ya 6 anashika nafasi ya kwanza tangu ameanza shule,na sijawahi hata mara moja kumtunuku zawadi tokana na kipato duni.

Leo nimeamua niwashirikishe wadau ili mnipe ushauri wa zawadi ndogo inayomfaa na ya gharama ndo kwa ajili ya kumtia moyo baada ya kuwa tena wa kwanza kwa mara nyingine.

Naombeni michango yenu wazazi wenzangu.
KOMAA ZAWADI NI KUMJUA MUNGU ZAIDI NA SHULE TU.
 
Watoto huwa hawapendi vitu vikuubwa..Mtafutie hata shati,suruali,saa umpatie then umuambie akifanya vizuri zaidi utampa zawadi kubwa zaidi. Atajituma,hongera kwa kuwa na mtoto kichwa mana kuna wengine watoto vichwa ubuyu tu.
Ahsante sana ndugu
 
Yaani sjawah kabisa kumzawadia japo anafanya vizur mitihani yake
Unadhani anahitaji zawadi kubwa? Lah.. mpe zawadi ilivyo ndani ya uwezo wako, tafuta muda kaa naye mkiwa peke yenu mwambie maneno ya kumtia moyo kuhusu kusoma.
Mpatie kitu anachokipenda lakini ambacho una uwezonacho.
 
Mnunulie Biblia na umfundishe kuishika njia iliyosahihi kwan hatoiacha hata atakapokuwa mzee
 
jitahidi mpe zawadi ya kumtia moyo aendelee kufanya vizuri zaidi pia mfundishe maandiko matakatifu ya mwenyenzi mungu
 
Zawadi pekee ni kumzuia asiwe mfuasi wa chadema ,atabadilishwa gia angani na kuzungushwa mikono
 
Mbebe, mkono mmoja umshikilie asianguke, mkono mwingine msugue sugue nao kichwani na mgongoni, mwangalie usoni kisha umwambie unampenda na anakufanya ujisikie fahari anapofanya vizuri darasani, kisha mpe hata penseli tu, kama huna mbusu umshushe. Ukimzoesha zawadi za vitu tena kwa kumuuliza anachopenda utaweza kumnunulia kila muhula? Kwanza zawadi zawadi hizo zitamfanya aoanishe kufanya vizuri na kupewa vitu. Ukifululiza mara 2 hujampa morali inashuka. Zawadi kubwa ni kumuonyesha unamkubali na akichemsha unamtia moyo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom