Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,948 Reaction score 13,378 Oct 12, 2013 #41 Piga chini mzigo,mbona unatudhalilisha wanaume wenzako? Nalog off
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,354 Oct 13, 2013 #42 Una umri gani kwan?
nyonga nyonga Member Joined Oct 2, 2013 Posts 27 Reaction score 4 Oct 16, 2013 Thread starter #43 Mkuu, imebidi kila mmoja afate njia yake ndio maamuzi tuliyofikia. Ako Kwaang said: Funguka mkuu, walikuwa wanajibizana nini? Then ntakueleza mawazo yangu, kama ya busara yabebe, kama yatakuwa kimeo utayatema. Click to expand...
Mkuu, imebidi kila mmoja afate njia yake ndio maamuzi tuliyofikia. Ako Kwaang said: Funguka mkuu, walikuwa wanajibizana nini? Then ntakueleza mawazo yangu, kama ya busara yabebe, kama yatakuwa kimeo utayatema. Click to expand...
N NYONYI2 Member Joined Oct 15, 2013 Posts 24 Reaction score 4 Oct 16, 2013 #44 mbane huyo dada akupe ukwel kuhusu huyo jamaa
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,678 Oct 16, 2013 #45 Ako Kwaang said: Mh! Hii stori tata, mwanamke akuonyeshe njemba lake lingine! Lazima kakugonga dawa mwana husikii wala huoni, na inaonyesha lazima utarudi kwake tu! Ila huyo demu lazima awe mrembo kinoma, msomali na mbulu! Mwe usimuache mkuu! Click to expand... Visingizio havina nafasi. Jamani . . . acheni ----- liitwe ----- tu kama lilivyo. Hii si habari ya six (6) was nine (9)!!! Eboo!
Ako Kwaang said: Mh! Hii stori tata, mwanamke akuonyeshe njemba lake lingine! Lazima kakugonga dawa mwana husikii wala huoni, na inaonyesha lazima utarudi kwake tu! Ila huyo demu lazima awe mrembo kinoma, msomali na mbulu! Mwe usimuache mkuu! Click to expand... Visingizio havina nafasi. Jamani . . . acheni ----- liitwe ----- tu kama lilivyo. Hii si habari ya six (6) was nine (9)!!! Eboo!