nyonga nyonga
Member
- Oct 2, 2013
- 27
- 4
Habari kwenu waheshimiwa na msio waheshimiwa..!
Jana nilitoka out na mchumba wangu, Tulipo fika sehemu ambayo tulikua tumepanga kwenda kutembelea na yeye ndie alipachagua tuka mkuta Jamaa ambae alinitambulisha kua ni mme mdogo na mimi ni mme mkubwa. Yule mwenzangu alikasirika na kutaka kuanzisha ugomvi ila mimi nikawa mpole hadi tulipo rudi nyumbani na huyo mchumba wangu.. na hadi sasa hivi sijamuuliza kitu na sijarudi nyumbani toka asubuhi. Sijawasiliana nae kwasababu simu yangu niliiacha nyumbani. Ndugu zangu naomba mnishauri nimfanye nini huyu mtu juu ya hiki kitu alichonifanyia, Ukweli nina mpenda sana ingawa kwetu walimkataa kisa ya kabila lake kua mmbulu huku akichanganya damu ya kisomalia upande wa mama na mmbulu upande wa baba.