Akikujibu nitagKumbe ndio huwa mnasema hivyo kuwa ukitumia ARV huambukizi wengine??
Hapo unataka ushauri kuhusu nini?anavyokulalamikia kama mpenzi wako?
Ama namna ya kumshawishi ameze dawa?
Najua we ni daktari na unahudumia watu.Dactar hawezi kuuliza au kuomba ushauri kwa kitu kama hichi... Unachosha watoa ushauri tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss tafiti zinaonyesha hivyo sio tu kusema ni kitu ambacho kimefanyiwa tafiti.Kumbe ndio huwa mnasema hivyo kuwa ukitumia ARV huambukizi wengine??
Hapo unataka ushauri kuhusu nini?anavyokulalamikia kama mpenzi wako?
Ama namna ya kumshawishi ameze dawa?
Hajawahi kutumia hata ile baseline CD4 count hafanya.Braza tukushauri kwenge ipi ya kukutana nae au... Mshawishi akafanye viral load kwanza na kama kukutana nae ni kitu cha kawaida sana mnaweza mkakutana nae kabisa na yakubidi ukubali kuwa hawezi kukuambukiza kama ashaanza kutumia ARV japo hauamini ila ni hivo.
Sony mobile phone
Da mbona unatuabisha ww, daktar gan sasa. Huamn kwamba matumiz ya ARV yanapunguza mambukizi?. Inamana huwamin pia WHO, statistic ya mambukiz sasa na zaman unaona sawa na kama yamepungua reason n nini?Mimi ni Daktari kitaaluma na ni mwenye kuzingatia maadili ya kazi yangu.
Tangu mwaka jana mwezi wa kumi na mbili nilipelekwa idara ya watu wenye maambukizi ya virusi vya UKIMWI.
Pamoja na huduma za kliniki pia idara hii pia inahusika na upimaji wa VVU kwa wale wateja wanaofika hospitalini hapa kwa ajili ya matibabu lakini hali za maambukizi hazijulikani (unknown HIV status).
Katika harakati za upimaji nikakutana na binti mmoja ambaye umri wa ni miaka kama ishirini na miwili.
Huyu tulipompima tukakuta ana maambukizi ya virusi vya UKIMWI.
Tukamfanyia ushauri nasaha na kumwanzisha tukiamini ametuelewa kumbe akachukua dawa halafu akaenda kuhifadhi ndani kwake. Ikapita tarehe ya kurudi, ikapita mwezi.
Siku mmoja nikiwa nakagua mafaili nikakuta namba zake nikampigia simu.
Nilipojitambulisha akakataa simu akatumia sms kuwa nimwache afe.
Baadae nikaendelea kutumiana nae meseji za kumshawishi atumie dawa lakini ananizungusha sana.
Jana aliniomba nimtembelee lakini
Nikashindwa kutokana na majukumu yangu
Leo pia akaniomba nimtembelee na bado nikakwama kutokana na kubanwa na majukumu.
Kilichonifanya niandike huu uzi ni kwamba amekuwa akilalamika sana kama vile tuko kwenye mahusiano.
Na anahisi mimi ninamnyanyapaa
Kisa ana maambukizi ya virusi vya UKIMWI.
Mimi ni mhubiri wa yale maneno kwamba "ukitumia dawa za ARV huwezi kuambukiza wengine" .
Lakini binafsi siamini kitu kama hicho.
Sasa wadau nifanye nini maana niko kwenye Ethical dillema.
Ushauri wenu jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninao couple kadhaa ambao wako na discordant results ila huwezi kukosa uoga wa kibinadamu!Da mbona unatuabisha ww, daktar gan sasa. Huamn kwamba matumiz ya ARV yanapunguza mambukizi?. Inamana huwamin pia WHO, statistic ya mambukiz sasa na zaman unaona sawa na kama yamepungua reason n nini?
Daktar kama husomi ni kazi bure.
Ningekuwa na mda ningekuwekea hata References.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa fake Dr maana hizo case zipo nyingi real Dr wanaziovakamuDactar hawezi kuuliza au kuomba ushauri kwa kitu kama hichi... Unachosha watoa ushauri tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli elimu ya udaktari imefikia hatua mbaya . Professional doctor anadiriki kuomba ushauri kwa wateja wake. So absurd akiyanani.