Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,217
maswali yote nitajibu wakuu.ulizeni
kama analeta ubishi shirikisha vyombo vya dola, apelekwe kwa nguvu hospital kulinganisha DNA yake na ya mtoto.
hayo mambo huwa yanauma sana imagine angepewa mdogo wako au mwanao ungemuachia?Umepanic mkuu...ata akipima DNA, ata ukimfunga ukweli utabaki palepale kama ni mtoto wake atabaki hivyo...ni mambo ya familia inabidi muyamalize kwa maongezi tu
hayo mambo huwa yanauma sana imagine angepewa mdogo wako au mwanao ungemuachia?
hayo mambo huwa yanauma sana imagine angepewa mdogo wako au mwanao ungemuachia?
maswali yote nitajibu wakuu.ulizeni
Umepanic mkuu...ata akipima DNA, ata ukimfunga ukweli utabaki palepale kama ni mtoto wake atabaki hivyo...ni mambo ya familia inabidi muyamalize kwa maongezi tu
Sasa unatakaje yaani? Si uende kwenye mamlaka husika
Kwan bfore hamkuwah kuhisi chochot kuhusu hao watu
Toeni ripoti polisi....utaona jinsi mambo yatakavyo pelekwa.
nipeupokea ushauliwaliko mkuu mnyepe newt week nitakwenda
Yabidi akubali kuwa huyo mtoto n wake na mumbane na huyo mama mtoto aseme baba wa mtoto.
Sikia dat ni family ishu huyoo jamaa akifungwa nan anatunza mtot?? Kaeni chini mzungumze kam familia..