Ushauri, natokaje hapa?

Asante mkuu Scars
Lengo ni kumwezesha (kama sio kumsaidia) apange ajitegemee bila kuumiza hisia zake. Hapa kuna gharama lazima nikubali kuzibeba 'for good' ilimradi liishe hili.

Hivyo nimeona hii ya kumlipia chumba na kumpatia vitu kidogo vya kuanzia ni vema, kuhusu namna gani nifanye aelewe nitaanza naye taratibu.

Wema una gharama zake, kama ilivyo kwa ujinga na tamaa.
 
Wanaume tunapungua kwa kasi.....unajua kusimamisha nanihii tu...mkuu ashakun, unachefua!....angekua mdogo wako ungejiskiaje...limtu linakaa nae miezi 4 alafu unamkimbia?....chunga sana.hii itakuwa tabia yako.grow up accept responsibility za maamuzi yako...kama hukutaka kumuoa ulikubali kuanza kuishi nae kwanini...uanaume ni maamuzi, msimamo na mgegedo....mgegedo bila maamuzi sahihi, na bila msimamo...ni sawa na dildo tu.
 

Pole sana mkuu, punguza jazba kidogo pengine utaweza kuelewa.... sasa wadogo zangu wameingiaje hapo! Hata hivyo, kwani hawaliwi?

Nimeweka wazi sababu ya kuishi naye, wala haikuwa mipango ya kufanya maisha.
 
Usisahau kuleta mrejesho

====MREJESHO====

Remember the Date, 15th July 2021.

Hatimae nimefanikiwa kumalizana na huyu bibie kwa njia ninayodhani mimi ya amani.

Tarehe tajwa amehamia rasmi kwenye chumba chake, ingawa imenigharimu vitu kadhaa ila yote kheri nimejinasua kwenye mtego ulioninyima amani. Niliuingia kwa tamaa, and I paid the cost.

Asanteni ndugu zangu kwa ushauri wenu, kuna vitu kadhaa nilizingatia ili kufanikisha…. na imenisaidia kujifunza.

Sema nini, aisee kuondoka jana tu tayari nishaanza kumisi uwepo wake…. sijui itakuwaje!


Ngoja niache ujinga, on to the next one.
 
Utaendelea kumenya hiyo papuchi invitro?
 
Sasa tatizo liko wapi mkuu?Unapata shida kwenye "engo" ipi ndugu?Ninyi muishi tu kama msichana wa "Chibok" na mtekaji "gaidi" wa "boko-haram"!How do you find it?😝😝😝😝😝😝
 
Umekosea sana.Unaona Sasa?Umemmiss!😝😝😝😝
 
Huyo ni single mother wa sita una mzalisha mleta mada, inaonyesha somo la self control limekupita mbali
Hawa huwa wanatunga stori nyingi hadi wanasahau waliishia wapi!Ni kwenda nao hivyohivyo tu.No way!😝😝😝😝😝
 
Mwache aijaze dunia hadi tushindwe kwa kukanyaga tubebane mabegani na nyumba nyingi za ghorofa.
Anatesa watoto kwa zinaa zake wewe uzae na wanawake sita una Hela ya kuwapeleka feza school kweli?
Maskini huzaa hovyo bila kujali future na hatima ya watoto, matokeo yake vibaka na machangu wanazidi mtaani.
 
Mungu kila mtu humpa mke kwa style yake yani we huyo ndio mkeo
 
Anatesa watoto kwa zinaa zake wewe uzae na wanawake sita una Hela ya kuwapeleka feza school kweli?
Maskini huzaa hovyo bila kujali future na hatima ya watoto, matokeo yake vibaka na machangu wanazidi mtaani.
Anamuenzi "ango" Magu aliyesema tufyatuane hadi heeeee!😝😝😝😝
 
Kuoa kwa sasa hapana, lakini hata muda ukifika... huyu binti yuko below standards.
Below standards ila unalala na kuamka nae na kumtia kila unapotaka! Hebu muogope mungu mzee! Mwanamke below standards usingeweza hata kuanzisha mazoea nae!

Demu unapika nae na kupakua miezi 3 now kisha unasema yuko below standards? Tafta demu mwingine wa kuoa huyo muache mzee sikutishi ila ambacho utakutana nacho utamkumbuka huyu wa below standards πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…!!! Mwanamke ambaye ukimpa million 1 anaweza kuifanya ikawa 3 unamuita below standards
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…