Ushauri: Nataka nikasomee Rasilimali Watu na Utawala

Ujamaliza kusoma unawaza ajira ndyo nyie nyie kazi ujapata unawaza mshahara bin waheeed mkubwa ww
 
Kila mmoja aandike kozi aliyosomea nichague[emoji3578]
 
Kasome wewe mengine yataeleweka mbele ya safari usiwe unajiuliza uliza kama kenge.Nakupa stori sasa kuna mpumbavu mmoja kama wewe alipangiwa DS UDOM watu kibao wakamwambia haina issue na ufala kibao.Alienda akasoma baada ya kumaliza chuo tu na kazi tena sio ya kubebwa.Navyokwambia hapa huyu mbwa ana hela ya kula.
 
[emoji120]
 
Wewe kasome kitaa kinakusubiri..no one knows tomorrow.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom