yellow java
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 1,282
- 2,330
Niliwahi kwenda burundi na zambia ila nilichogundua ni kwamba wanawake wa hizo nchi wanawapenda sana watanzania, yaani ukimwambia Mimi ni mtanzania, basi ushampata...
Sehemu inaitwa- Haho-yaya- hii ipo katikati ya au inazungwa Na Remung’orori, Kenyamonta Na Sirori Simba . Sasa usiulize tena huko Ni wapi...Naweza kuwapata wapi,na mm nivute jiko?
Na hata ukiivunja ukimwambia aenende kwao yy anaenda kwenu.Rafiki, oa.
Warundi ni sawa Sawa na wanawake wa kiha wa zamani.
Ndoa ya Mke wa kirundi utaivunja mwenyewe na sio yeye.
Haho yaya ndio wapi? Mko ganiWarundi ukiwaoa ni umechukua jumla... huko kwetu kuna sehemu inaitwa Haho yaya na wako kibao kutoka Burundi, ukiwaoa tu, hata kusalimia nyumbani kwao hawaendi. Haya mambo ya shangazi mjomba anataka chai , vitumbua na machapati hawana... wako poa sana. Wanawake wa kirundi wanaheshimu sana waume zao, ni watiifu haswa. Ndoa utaivunja wewe. Hata ukiwa cheat hawakuachi... si wanawake wanaokupa pressure kama wetu wa bongo kila siku maswali kama job interview... kwa kweli wako poa... nimewashuhudia toka kijijini kwetu - kwa kuona maisha yao na vijana waliowaoa huko kijijini...
Mkuu hii sehemu imetajwa page ya 1 au 2 - anza mwanzo wa thread Kuna maelezo ya kutosha...Haho yaya ndio wapi? Mko gani
Soma 33Haho yaya ndio wapi? Mko gani
Kwan Mkuu kunatofauti gani ya hii mitaa miwili pale Bujumbura si ni kama posta na Karume tu? Yani Bwiza ni mtaa mmoja na Buyenzi ni mitaa ya mbele hata sio mbali ?Sawa ila usiende buyenze labda bwiza.
Bwiza nina ndugu aliolea kule wameishi muda mrefu tu japo kwa sasa hawapo pamoja ila ndugu yangu ndio alizingua na si mwanamke.
Kwa kiasi fulani warundi kuna jamii ni nzuri na wengine ni kutokana na ile vita walikuwa na wakati mgumu kiasi waliishi katika hali mbaya na kuathiri uchumi na kuingia kwenye biashara haramu.
Ukimtoa mwanamke nchi kama Burundi tegemea atakuwa imara kusimamia ndoa yake japo mwanamke atabaki na sifa ile ile ila kuna unafuu sana.
Nina shemeji zangu wanataka niwatumie nauli warudi huku walikuwa wakija kumtembelea ndugu yao kipindi yupo na ndugu yangu.
Asante Kwa ushirikiano wakoSehemu inaitwa- Haho-yaya- hii ipo katikati ya au inazungwa Na Remung’orori, Kenyamonta Na Sirori Simba . Sasa usiulize tena huko Ni wapi...
Na swali hili limeishwa jibiwa humu kitambo...