Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,253
- 4,008
- Thread starter
- #21
Sasa unamuoa wa nini ?
Ndoa ya mbali
Sasa unamuoa wa nini ?
Bongo ni nchi ambayo mtu yoyote wa kigeni anaweza ishi hadi hadi akakata Ringi bila kukutana na maafisa wa uhamiaji.Residence permit ndo msala
Kida saahapo kwanza Ncheke![]()
Kumbe unaoa House wife?Bongo ni nchi ambayo mtu yoyote wa kigeni anaweza ishi hadi hadi akakata Ringi bila kukutana na maafisa wa uhamiaji.
So, ilo si kikwazo kivile unless awe anataka wife awe anapiga mishe za kufuata bidhaa nje.
Lakini kama wife ni kutulia Ngwea tu na kudili shughuli za nyumbani ilo residence aachane nalo.
Warundi ukiwaoa ni umechukua jumla... huko kwetu kuna sehemu inaitwa Haho yaya na wako kibao kutoka Burundi, ukiwaoa tu, hata kusalimia nyumbani kwao hawaendi. Haya mambo ya shangazi mjomba anataka chai , vitumbua na machapati hawana... wako poa sana. Wanawake wa kirundi wanaheshimu sana waume zao, ni watiifu haswa. Ndoa utaivunja wewe. Hata ukiwa cheat hawakuachi... si wanawake wanaokupa pressure kama wetu wa bongo kila siku maswali kama job interview... kwa kweli wako poa... nimewashuhudia toka kijijini kwetu - kwa kuona maisha yao na vijana waliowaoa huko kijijini...
Kumbe unaoa House wife?
Hapana kwa maana yangu. Na ,pengine kwake muoaji ni hvyo ulivyo sema wewe . Na hata kama ni hivyo house wife shughuli zake zinaweza kuwa ni Indoor tu, outdoor trip labda anakwenda kwao Burundi.Kumbe unaoa House wife?
Naunga mkono hoja🤣🤣🙏🙏🏽Rafiki, oa.
Warundi ni sawa Sawa na wanawake wa kiha wa zamani.
Ndoa ya Mke wa kirundi utaivunja mwenyewe na sio yeye.
Hapo HahoYaya ni karibu sana na Vijiji vya SiroriSimba ( Willaya ya Musoma Vijijini) , Remng'orori, Kenyamonta (wilaya Serengeti) Mkoa wa Mara, ni jina walilopewa na kutokana na Tabia zao... UKiweza fika maeneo hayo ya vijiji tajwa, wewe waambie wahusika wakupe ramani ya HahoYaya...Nielekeze hiko kijiji niende fasta
Unataka kuoa Burundi sehemu gani mkuu?Ushauri wenu wakuu!!…
Naona wanawake wa burundi bado ni wazuri sana kwene kutunza familia.
Nb ila nimeambiwa hawa ukicheat wanakuua
Unataka kuoa Burundi sehemu gani mkuu?
Hapo HahoYaya ni karibu sana na Vijiji vya SiroriSimba ( Willaya ya Musoma Vijijini) , Remng'orori, Kenyamonta (wilaya Serengeti) Mkoa wa Mara, ni jina walilopewa na kutokana na Tabia zao... UKiweza fika maeneo hayo ya vijiji tajwa, wewe waambie wahusika wakupe ramani ya HahoYaya...
Sawa ila usiende buyenze labda bwiza.bujumbura
Kwani kinyama ugomvi nacho kina lafudhi pia? Najua kinakubari Kila aina ya msumari… pia isitoshe watu wakiwa deep huwa wanaongea Lugha na maneno yasioelewejana wakimaliza mmojawapo akimuuliza mwenzie alikuwa anasema nini, jibu, wala sikumbuki… huwa wanasem- niue, nikabe koo, Mimi ni wako, nitumie unavyotaka… etc… warundi na Wanawake wote humu duniani wanaongea lugha hizi hizo…Hivyo lafudhu haijalishwi sana…🤣🤣🤣Dah ila wanaume wa Tanzania mna mahangaiko sana.....yaani walivyo na lafudhi mbovu mwisho wa siku uanze kushinda bar hutaki kurudia home
Duh hii kibokoKwani kinyama ugomvi nacho kina lafudhi pia? Najua kinakubari Kila aina ya msumari… pia isitoshe watu wakiwa deep huwa wanaongea Lugha na maneno yasioelewejana wakimaliza mmojawapo akimuuliza mwenzie alikuwa anasema nini, jibu, wala sikumbuki… huwa wanasem- niue, nikabe koo, Mimi ni wako, nitumie unavyotaka… etc… warundi na Wanawake wote humu duniani wanaongea lugha hizi hizo…Hivyo lafudhu haijalishwi sana…
Jiandae kupokea wakimbizi mabegi yamejaa smg,ak47Ushauri wenu wakuu!!…
Naona wanawake wa burundi bado ni wazuri sana kwene kutunza familia.
Nb ila nimeambiwa hawa ukicheat wanakuua
kwaiyo naweza oa nikamuacha burundi namm nikaishi tanzania


unaogopa umkimleta Tz wahuni watapita nae?