Ushauri nataka kununua tv

Kama una mkwanja wa kutosha vuta sony android tv 4k.

Haya mengine ya china sijui TCL ni takataka achai watumiaji wa simu za tecno wayanunue ndio tv zao hizo.
 
Wakuu nataka kununua tv inch 55 nasikia bei imepungua ipi ni brand nzuri yenye picha nzuri na inayodumua kwa muda
Fanya survey yabei huko ulipo mie nitakuuzia kwabei nzuri huku nakuletea mzigo OG wa TCL Mana hyo ndio ninaoiamini Bei n nzuri kuliko hzo zahuko mie huwa nanunua kutoka nje ya bongo tukielewana nakuagizia ukifika kwako tunamalizana
 
Mkuu tafuta tcl smart android hutajutia wenye nazo wanaelewa hii kampuni ya kichina ni moto

Kwa uelewa wangu
1)Samsung
2)hisense
3)tcl

Hizo ndo brand za kuchagua zingatia brand ya kwanza na bei imechangamka
Nakazia,ukihitaji kutoka kariakoo usisite kupiga *149*46*30# kwenda vodacom,tigo na airtel bure kupata huduma ya manunuzi na kusafirishiwa tv yako hadi mahali ulipo.
 
Fanya survey yabei huko ulipo mie nitakuuzia kwabei nzuri huku nakuletea mzigo OG wa TCL Mana hyo ndio ninaoiamini Bei n nzuri kuliko hzo zahuko mie huwa nanunua kutoka nje ya bongo tukielewana nakuagizia ukifika kwako tunamalizana
bei yake ikoje inchi 43 mkuu
 
Kuna toleo jipya la Tv kampuni ya AIWA kutoka Japan, ni smart na zina picha angavu sana. TV kali sana hawana matoleo mengi sana, hilo ndio la kwanza.
 
Mkuu tafuta tcl smart android hutajutia wenye nazo wanaelewa hii kampuni ya kichina ni moto

Kwa uelewa wangu
1)Samsung
2)hisense
3)tcl

Hizo ndo brand za kuchagua zingatia brand ya kwanza na bei imechangamka
Number 2 nadhani ni LG
 
Tembea na Hisense UHD SMART 4K A6 SERIES zile za World Cup Qatar. Ukiichukua hii utakuwa ukiona hizi brand nyingine unatema mate ya kichefu chefu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom