Kinachokupa shida ni kushindwa kutofautisha sabwoofer na hometheatre,hiyo uliyochukua ni subwoofer iliyowekwa sifa za home theatre kelele tu lkn theatre sterio take sio kelele kwa majirani na hata unapoifungulia mpaka mwisho ni watu kufurahia haina kelele za kutingisha paa la nyumba,ungaunga tafuta Sony utakuja kutuletea mrejesho jinsi mjumbe na majirani walivyoongeza upendo kwako,na majaribio kadhaa ya kuvunjiwa kimlango chako waunyakue mziki.Nimefanikiwa kupata kitu BOSE....aisee asikwambie mtu kitu. Hii kitu inagonga. Ni juzi juzi tu nlikuwa na kikao kwa mjumbe. Mtaani wameenda kulalamika kuwa nina ponda nyumba zao na kitu kizito wanashindwa kulala maana bati zao zinapiga kelele na kuta kutikisika. Nmemkatalia kabisa mjumbe hajaamini anahisi kuna vitu nafanya home illegal basi imebidi nimlete home akakagua akaenda kuwapa ujumbe kuwa hamna kitu.
Jumamosi mi najilia music wangu sina hili wala lile kaja mjumbe na wazee wawili wakagonga geti nkaenda kuwafungulia. Moja kwa moja wakaongoza ndani. Kufika wanaaanza kukagua kumbe wale wazee wameenda tena kumwambia mjumbe nagonga. Ndo wakagundua ni mziki.aiseee walishangaa sana. Wamesambaza habri mtaani kuwa napiga disco.sasa imekuwa shida nikipita nanyooshewa vidole. Mabint wanataka waje kusikilizia nyimbo zao kwangu... Matozi nao imekuwa shida na flash zao kila wakati wanataka waje wajaribu nyimbo zao kwangu.
BOSE ni balaah asikwambie mtu.inatisha hasa...hata hivyo nililetea zawadi na bro toka kwa mzee obama. Huu muziki ukifungua kwa saut kubwa unaweza sababisha tetemeko la ardhi kabisa. Cha ajabu wewe ukiwa ndani husikii sana. Hapo nashindwa kuelewa inakuaje
Kinachokupa shida ni kushindwa kutofautisha sabwoofer na hometheatre,hiyo uliyochukua ni subwoofer iliyowekwa sifa za home theatre kelele tu lkn theatre sterio take sio kelele kwa majirani na hata unapoifungulia mpaka mwisho ni watu kufurahia haina kelele za kutingisha paa la nyumba,ungaunga tafuta Sony utakuja kutuletea mrejesho jinsi mjumbe na majirani walivyoongeza upendo kwako,na majaribio kadhaa ya kuvunjiwa kimlango chako waunyakue mziki.
Music systems za siku hizi zile original hazitoi sauti nje kiasi cha kukera watu. Ukiseti speakers vizuri kwenye setting ya redio sauti inayotoka nje ni kama ya speaker ya simu ila ndani mziki ni mkubwa alafu surround balaa. Mi natumia Dennon
[/QUOTE]Nikibishana na wewe unaweza nishinda sababu we una uzoefu. Wenye kuelewa huwaoni wakileta hoja kama zako coz wanaelewa nazungumzia nini. Na kwa taarifa yako sasa music wenye speaker nzito huwa ndani hauusikii sana hasa mdundo wake coz unatoka kwa style ambayo wewe ndani husikii sana. Ni sawa na anayeendesha RANGE ROVER anapokimbiza gari yeye haoni kama anakimbia sana ila wa nje huona kama anakaribia kupaa. Ndivyo ilivyo kwa music system. Sound yake huwa inasambaa kwa namna ambayo when yu re inside yu don feel much.its like normal but mdungo wake husikika kwa namna ya kusambaa taratibu and pia ulipaswa tu ujue matumizi ya lugha.shule ni muhimu kujua vitu vidogo kama hivi kuwa smetme maneno yanatumika kunogesha story na walio elewa unaona hawajaanzisha mada mpya. Zaidi wanauliza watapata wapi BOSE coz wanazifaham hata ningeziponda wangenishukia hapa na kusema nadanganya.
QUOTE="stickyfinger, post: 17757827, member: 128826"]Music systems za siku hizi zile original hazitoi sauti nje kiasi cha kukera watu. Ukiseti speakers vizuri kwenye setting ya redio sauti inayotoka nje ni kama ya speaker ya simu ila ndani mziki ni mkubwa alafu surround balaa. Mi natumia Dennon
Hiyo Dennon sijui ni ya wapi. mi naifaham DENON hii ni Kampun toka Japan nao ni wazuri kwenye MUSIC toka kitambo tu kwa sasa. wachina wakaiga wakawa wanatengeneza DENNON kama kawaida yao wakabadilisha jina kidogo tu kama walivyofanya kwa SAMSUNG wao wakaja na SAMSANG, Kwa SONY wakaja na SONQ. sasa wameenda hata kuiga ya DENON wewe wakakuuzia DENNON halafu unakuja kutamba hapa na music wako wa kichina.
Hayo ni makosa ya kiuandishi, nilimaanisha denon. Pia nikuaamishe kuwa speakers za bose zimeanza kutumiwa na Mercedes Benz toka kitambo sana
[/QUOTE]Kuna vitu vya kutumia common sense tu. Wala hata huhitaji kuwa umesoma sana. Hujui kuwa anything kinapozid huwa inakuwa harmful? Hujui hata ukiongeza sauti kwenye simu inakupa warning kuwa unaongeza sana sauti?
Suala la matumizi na ndo maana hata club huwa zinakuwa na sound proof wall ili ile saut isitoke nje lakini si kuwa zile speaker zimetengenezwa hivyo.
Ungenyamaza usingeonesha kuwa umjinga. Gari zina speed mpaka 300 but kuna nchi zina speed limit. Then wangetengeneza gari mwisho speed 80.
Niseme tu, ulaya hawana sound system inayotoa nje kubwa kuliko ndani kule kuna sheria zinazobana kupigiana kelele tofauti na zetu. Lazima utakuwa hujui kuseti speakers lengths kulingana na ukubwa wa chumba chako. Pia positioning ya speakers ni muhimu, soma manuals ya vyombo hizo. Natamani nikualike home ujionee.
Unazotumia ni za mchina zipo DENNON. Nimewah ziona hata kariakoo. Mi nmekwambia waliamua kuzitangazia gari zao kuwa zimefungwa huo music sikusema hawajawa kuzifunga makampuni mengine. Mbona natumia kiswahil chepes tu.
Huyu muhuni kama hajapata woofer anatakiwa akachukue mashine hii hapa Sony model dav-dz650, ninayo ghetto now aisee ni kufuru wazee, unaweza ukaangusha ceiling na ina jumla ya 1000watts tu kama output. Ina digital sound amplifier "S-master" inayotoa dynamic sound hatari mno waweza dhani ni hi-fi system ila tofauti hii theatre bass yake ni kali zaidi!above all sony ni baba lao aiseee
Sony bidhaa zao ni moto wa kuotea mbaliMkuu chukua Sony wala hutajilaumu mziki mzito na zinadum muda mrefu sana ya kwangu huu ni mwaka wa saba sijaipeleka kwa fundi
Haha mkuu umenifurahisha Sana nazijua Bose ni za ukweli sanamimi sikushauri kununua samsung music. kiukweli samsung kwa upande wa music si wazuri. nenda kanunue SONY hawa wanamusic wa maana hasa. kuna radio alinunua mzee miaka kama 15 iliyopita mpaka sasa inapiga music achaa.... akigonga hadi mapigo yako ya moyo yana badilika yanaanza kufata mdundo wa wimbo unaopiga. kama upo ndani husikii sana ila jaribu kutoka nje ndo utasikia kitu kinavyogonga. kama ni nyumba haikujengwa imara unaweza kuta inapata ufa na baadaye kubomoka kabisa. na pia nliona PANASONIC wapo vizur na LG kwa Samsung mi napenda TV zao tu ila kwa music hawana kitu pamoja na bei zao kuwa juu lakini si kitu. ukiwa na mfuko mkubwa kanunue BOSE MUSIC SYSTEM.... Hii inatisha kabisa ni weka mbali na watu. inagonga kaka we acha tu asikwambie mtu ila ukinunua hii machine hakikisha haufungui sana sauti na usiweke bass ya sifa unaweza kuangukiwa na nyumba unayoish.
Kiasi gani hiyo kkHuyu muhuni kama hajapata woofer anatakiwa akachukue mashine hii hapa Sony model dav-dz650, ninayo ghetto now aisee ni kufuru wazee, unaweza ukaangusha ceiling na ina jumla ya 1000watts tu kama output. Ina digital sound amplifier "S-master" inayotoa dynamic sound hatari mno waweza dhani ni hi-fi system ila tofauti hii theatre bass yake ni kali zaidi!
View attachment 406655
Bei ngapHuyu muhuni kama hajapata woofer anatakiwa akachukue mashine hii hapa Sony model dav-dz650, ninayo ghetto now aisee ni kufuru wazee, unaweza ukaangusha ceiling na ina jumla ya 1000watts tu kama output. Ina digital sound amplifier "S-master" inayotoa dynamic sound hatari mno waweza dhani ni hi-fi system ila tofauti hii theatre bass yake ni kali zaidi!
View attachment 406655