hapo mamaland nilipataga hadi mchuchu sababu ya kwendakwenda kula kitimotoKama wewe mla kitimoto Usisahau kwenda mamaland bar.
Wanafamilia waJF bado nipo kwenye utafiti na kutafuta undani kuhusu Mbinga safari hii naomba msaada juu ya geographical contents za Mbinga Je? Kuna chuo chochote cha elimu au ufundi? kuna shule ngapi kwa makadirio za secondary? Vipi kuhusu bei za nyumba kupanga? Umeme na maji hapo?........
Msaada kabla ya maamuzi yangu...
Mkuu kuna baridi sana?
Me nipo kiongozi,hahahaUmepotelea wapi we mutu?
Amesema mbinga sio polinkwa nini unaenda kuishi porini namna hiyo?
Inyaehaya naanza namna ya kusalimia asubuhi iwe mwanamke au mume habari hoteee watajibu enaaaa
Haipo,saiv kuna Igo,pasific yanno,dokela n.k,majestic pub bado ipo?
Viazi mbatata,mahindi n.kMbinga ni moja ya vituo navyopitaga kuitafuta Mbababay, ni pazuri kama mkulima kuna maji ya kutosha, milima milima mingi. Kahawa, na mbao..
thomas aliamua kuifunga ee!Haipo,saiv kuna Igo,pasific yanno,dokela n.k,
Mkuu biashara gani zinalipa sana huko? Mashamba je bei zikoje?Katibu mbinga maisha saf biashara zinaenda saf
Mkuu elezea tu kwa ujumla wake maana tunaopatamani ni wengi.Pengine ningeweza changia lakini nashindwa kwa sababu maelezo ya mleta uzi hayajitoshelezi, kwa mfano hujasema hasa unataka ujue juu ya nini huko mbinga vinginevyo is too general!