Ushauri: Nataka kuchumbia mwanachuo

Ushauri: Nataka kuchumbia mwanachuo

21 miaka bado mdogo kuoa kwa usawa wa maisha ya sasa ,ungefikisha walau 27 na kuendelea. Kwa sasa jiimarishe kimaendeleo ili ukija kuoa umudu uendeshaji wa familia si lelemama
 
We oaga tu kama umeona una uwezo wa kutunza familia, vinginvyo utazini na unaahirisha matatizo, ukioa mapema utapata watoto mapema na kupata muda mzuri wa kuwatunza, pia utazeeka sawa na wanao.
 
Mi babu ndugu
 
Kama unauwezo wa kutunza familia katika mahitaji yote oa
 
21 kwanza una miliki nini ndugu hadi kwa umri uharakie kuoa
Na unae muoa atakuwa na 14[emoji124]️️️ sasa au ?[emoji125][emoji125]
 
Vipi mambo,

Hawa wanachuo wenye kuvaa vizuri si wanafaa kabisa kwa ndoa? Maana nimeona kuna baadhi watulivu kweli yani, vipi nichumbie au nikaushe maana mimi sio muongo muongo nataka nioe kabisa, but am 21 yrz old.
Oa tu hamna tabu
 
Oa tu hamna tabu
Nakimbia uzinifu,cunajua pepo inatafutwa..
21 kwanza una miliki nini ndugu hadi kwa umri uharakie kuoa
Na unae muoa atakuwa na 14[emoji124]️️️ sasa au ?[emoji125][emoji125]

Kama unauwezo wa kutunza familia katika mahitaji yote oa

Kachumbie tu!!!

We kurupuka tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mi babu ndugu

We oaga tu kama umeona una uwezo wa kutunza familia, vinginvyo utazini na unaahirisha matatizo, ukioa mapema utapata watoto mapema na kupata muda mzuri wa kuwatunza, pia utazeeka sawa na wanao.

21 miaka bado mdogo kuoa kwa usawa wa maisha ya sasa ,ungefikisha walau 27 na kuendelea. Kwa sasa jiimarishe kimaendeleo ili ukija kuoa umudu uendeshaji wa familia si lelemama
 
Hivi una wajua mabint wa chuo au una wasikia..hao hawanaga muda na masula ya kuolewa..msubiri amalize kula bata za chuo..ndio umuoe vinginevyo utaumia na moyo..
 
Napata shida sana kama umesoma kitabu kimekolea, umejipanga,unataka kuoa mwanachuo
 
Kama umeridhia basi unaweza fanya unachohitaji, lakini wanachuo huwa nishida sana.

Nb; Usije ukajinyonga baadae maana wengi hujuta kuwa na wapenzi chuo.

Maisha mema
 
Back
Top Bottom