magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 14,053
- 34,481
Habari zenu wakubwa. Nina imani humu ndani kuna watu wana uzoefu na mada tajwa hapo juu. Kuna eneo nimekua nalifanyia utafiti kwa muda mrefu hapa Songea na kugundua kuwa wakazi wa hapa wamekua wakihitaji internet yenye kasi. Hilo eneo huwa inapatika EDGE muda wote.
Sasa nilikua naombeni ushauri maana mi si mzoefu sana na hii biashara, nizingatie vitu gani kwenye hii biashara?
SHUKRANI.
Sasa nilikua naombeni ushauri maana mi si mzoefu sana na hii biashara, nizingatie vitu gani kwenye hii biashara?
SHUKRANI.