Kwani huwezi kutoa maoni bila maneno ya karaha?hakuna maridhiano.kati ya mashoga na watu safi.kati ya giza na nuru
Kijana pambana kutafuta pesa na mali, haya makelele ya wanasiasa, vibaraka na wanachama wao itakuwa ni sehemu ya comedy au burudani katika maisha yako.
Kwakifupi una stress za maisha na hapo ulipo haujatoka wala kufanikiwa kimaisha jambo ambalo linakunyima usingizi sana. Kufuatilia kwako hayo mambo ya kisiasa ni namna tu unatumia kutolea stress za maisha.
Tafuta mali na pesa. Utaona utamu wa maisha ya hii dunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona DAB alipotangaza vita dhidi ya mashoga, waziri alikuja mbio mbio kusema kuwa huo si msimamo wa sirikali?! Hii maana yake msimamo wa sirikali ni kinyume cha kile DAB alikuwa anafanya. Kwahiyo kuna maridhiano.hakuna maridhiano.kati ya mashoga na watu safi.kati ya giza na nuru
hakuna maridhiano.kati ya mashoga na watu safi.kati ya giza na nuru
We dawa yako inachemkahakuna maridhiano.kati ya mashoga na watu safi.kati ya giza na nuru
Jibu murua kabisa,siasa ni maishaUsipofuatilia siasa na kuwa serious nazo basi hao wanasiasa wana uwezo wa kukuteka na kukupukutisha vijisenti vyako!. Hapo ndipo utakapokumbuka kumbe ungekuwa active katika nchi kutaka siasa safi hatma hiyo isingekukuta!
Mo Dewji alishaachana na habari za siasa na kuamua kutafuta hela, lakini hela zake hazikumsaidia asitekwe na infact ndizo zilizosababishwa atekwe!
Leo hii, Mo ananyang'anywa mashamba yake, na alishaachana na mambo ya siasa!
Kwa hiyo mdogo wangu shiriki kikamilifu katika kila hatua za kuona nchi yako inaongozwa kwa haki, kuwepo na utawala bora na uongozi bora kwa hiyo siasa haikwepeki. Athari za utawala wa kidhalimu hazibagui, hata hao wenye hela wanaionja joto ya jiwe!
akikujibu niambie tuna vijana mizigo sijui wanawazaga nnUsipofuatilia siasa na kuwa serious nazo basi hao wanasiasa wana uwezo wa kukuteka na kukupukutisha vijisenti vyako!. Hapo ndipo utakapokumbuka kumbe ungekuwa active katika nchi kutaka siasa safi hatma hiyo isingekukuta!
Mo Dewji alishaachana na habari za siasa na kuamua kutafuta hela, lakini hela zake hazikumsaidia asitekwe na infact ndizo zilizosababishwa atekwe!
Leo hii, Mo ananyang'anywa mashamba yake, na alishaachana na mambo ya siasa!
Kwa hiyo mdogo wangu shiriki kikamilifu katika kila hatua za kuona nchi yako inaongozwa kwa haki, kuwepo na utawala bora na uongozi bora kwa hiyo siasa haikwepeki. Athari za utawala wa kidhalimu hazibagui, hata hao wenye hela wanaionja joto ya jiwe!
Haijawahi na wala haitakuja kutokea kufanya maridhiano na ShetaniChuki ya kisiasa kati ya wafuasi wa CCM na washirika wao vs wafuasi wa vyama vya upinzani inaongezeka siku hadi siku.
Ukipitia mitandao ya kijamii ( japo CCM wanaibeza) utaona maoni ya hasira na chuki anayojibiwa kiongozi wa CCM (mfano, Mwigulu, Kangi Lugola, DC Kigamboni, Possi, n.k n.k).
Upendo umetoweka Tanzania yetu hii.
Vijana wa CCM nao hawapo nyuma hapo katika wachangiaji 1000, utaona wanaounga mkono kauli za viongozi wa CCM wapo 20 ( 980 wote wanaponda kauli za viongozi wa CCM).
Mimi nimeona sasa yatosha; hii chuki usiachwe iendelee kutawanyika.
1. Viongozi wa serikali ya CCM waache kutoa matamko yanayoamsha hasira za watu ( waongee ukweli wasipotoshe)
2. Viongozi wa Vyama vya Upinzani nao wafanye hivyo hivyo kama wa CCM wasitoe kauli zinazoamsha hasira.
3. CCM itoe fair political playground kwa vyama vyote.
4. Viongozi wa dini wasiegemee upande wowote wa kisiasa.
5. Tutofautishe kati ya matusi na kukosolewa.
Asanteni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna maridhiano.kati ya mashoga na watu safi.kati ya giza na nuru
Tukumbushe kauri ya waziri wa mambo ya nchi za nje baada kijana mpendwa kuanzisha ile vita yake ambayo haina mwendelezohakuna maridhiano.kati ya mashoga na watu safi.kati ya giza na nuru
Kwa kusoma mitandao unaweza kweli kuogopa kwambà kuna chuki kubwa sana. Hii siyo kweli. Kote duniani kwenye nchi ambayo wananchi wake wako huru raia hukosoa serikali yao. Pale ukosoaji unapogusa mambo ya msingi kabisa serikali hutoka hadharani kutoa kauli rasmi. Hapa kwetu hali ni tofauti. Inaelekea kuna mpango rasmi au usiokuwa rasmi ambapo kuna raia wamepewa au wamejipa kazi ya kuwajibu wenzao wanaokosoa serikali yao! Hali hii ilianza awamu ya 4 na sasa imeshamiri kama siyo kurasmishwa.Na kwa sababu hawa ni raia tu na wanajitokeza kujibia serikali hata kwa mambo ambayo hayastahili mabishano kutokea. Mabishano hayo kati ya raia wanaokosoa serikali yao na wale ambao wamepewa au kujipa kazi ya kuijibia serikali ndiyo yanayojenga taswira ya uhasama. Lakini hawa ni watu wachache tu. Watanzania walio wengi wanajua hali ilivyo na hawana uhasama na kundi lolote la raia wenzao. Kuna watu kwenye mitandao waonyesha kutamani baadhi ya wanasiasa wetu wafe! Watu wa aina hiyo wanazo sababu zao binafsi na ungeweza kuwahesabu hawafiki elfu. Maridhiano ya kitaifa ni jambo jema lakini siyo kwa mtazamo huu. Kweli kuna wakati kama taifà itabidi kufanya tafakuri ya kina na kutengeneza pale palipoharibiwa kwa maslahi binafsi. Ethiopia wameanza kazi kama hiyo ikiwa ni pamoja na kulipa fidia raia walioumizwa isivyo halali.
Yaani wewe ni njaa tu na kutaka uteuzi wa huruma au wa kupewa kama ni mbunge bac ulipita wakati watu bado hawajaelemika muulize ucd, msiba, lumtuzi kama wakigombea jimbo lolote halafu kuhesabu kura asimamie Mmarekani na askari watoke marekani hamtapata hata kura moja labda yko tu na kama unabishi 2020 tuombe iwe hivyo USSRkula ndimu
Acha na Pimbi ilo. Roho na misura yao vinafanana