Ushauri naombeni msaada

Hizo 150K bora ungejaza kreti za bia nyumbani ukajilipua tu.
 
kwa mwanamke umeshatoa 150,000 Je! Kwa Mungu Umetoa Ngapi?
 
Me mwenzio nishakamata kwa nguvu mara 9 mpaka sasa wajinga kama hao alafu anaweza akawa anakuja na sketi fupii alafu kibox manyoa hakupi
 
Mawili .... moja anakutumia kama ATM. Pili... ana trust issues... na husababishwa na mahusiano aliyokuwa nayo huko nyuma... ndio maana hakuamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…