WTF!! 150,000!!! Miezi mitatu!!!!
Usirudie tena kuandika hapa hela unazo honga unajidharirisha, maana kuna wengine hutoa hiyo per day na hata 3,000,000 miezi mitatu
fanya maamuzi magumu kabla hajaendelea kukutumbua zaidi, huyo anachukua laki na nusu kwako anaenda kumpa mwanaume mwenzio na miguu anamtanulia. Piga chini harakaaaa
This is being very insecure. Mbona kama hamjiamini wanaume? Kweli among all reasons zinazomfanya huyo binti asitake kuguswa, this came to your mind first? Mtoa mada kaa chini muulizane kulikoni, this is very childish