Ushauri: Nampenda sana ila ana wivu hatari

Ushauri: Nampenda sana ila ana wivu hatari

Embu mlete hapa tumshauri yy moja kwa moja
 
Habari zenu Wapendwa wote:
Naombeni ushauri wenu tafadhali
Nampenzi wangu nampenda sana tena sanaa mahusiano yetu ni mapya na hayana mda mrefu ndio kwanza tuna mwezi mpaka sasa, nilimshawish tupime afya zetu nakujitambua wote kwa uwezo na ulinzi wa Mungu juu yetu tukajikuta tupo salama salimin nakuahidiana wote kuwa makini, kushauriana kujilinda nakuaminiana.
Nampenda sana mpenzi wangu na mi ni muwazi kwake ila wivu wake umepitiliza haniamini anataka mda wote nitembee na simu kuna wakati nakuwa mbali na simu labda mazoezini ama naoga n.k akipiga simu ama kutuma smg sipokea ama kujibu smg on time ugomvi unaanza nikimpigia hapokei cm tena simu wala kujibu smg zangu mpaka hasira zake ziishe hii hali inaweza kuchukua hata siku mbili au tatu ndio arudi tena kwenye mood wake.
Naombeni mnisaidie nawezaje kulitatua hilo jambo nampenda sana mpenz wangu.
Bas sawa .SMG hizo anazokutumia zina vibali ?
 
Hizo ni mbwembwe za penzi jipya likifubaa ataacha, ila pia yaweza kuwa ni ka technic flani hivi kujifanya kanuna kwako anaenda kuchekea kwingine shtuka
 
Simple, mtaarifu ukiwa una kazi itakayokufanya uwe mbali na simu,
Akinuna ujue ana matatizo yake binafsi
 
Back
Top Bottom