Perry, sijui PHD wewe unaielewaje. Kikubwa umeelewa. Unaweza kusahihisha, unaweza kushauri, unaweza kukashifu, unaweza kunyamaza ama kufanya chochote unachotaka. Ninachojua watu hatufanani. Unachofikiri wewe usidhani watu wote wanafikiri kama wewe. Na wala hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuamini kwamba yeye ndiye anajua kila kitu na yuko sahihi nyakati zote.
Ahsante Perry.