mandingo6262
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 424
- 82
Habari zenu wanajamvi? Nahitaji kununua gari kwa ajili ya biashara lakini kutoka na bei za kwenye yard kuwa juu nahitaji kuagiza moja kwa moja toka nje. Msaada naohitaji ni
1. Je nitumie kampuni gan maana wengine wanasema beforward ni wazur wengine wananambia nitumie tradecarview
2. Nawezaje kukwepa risk za kutapelewa kwenye mitandao?
3. Inachukua muda gani hadi gari kufika Bongo kwetu?
Wenye uzoefu jaman nahitaj msaada wenu.