Ushauri! Nahitaji kuhama shule niliyochaguliwa adv.

hermanthegreat

JF-Expert Member
Mar 2, 2021
853
2,037
Nimechaguliwa kujiunga form 5 katika shule ambayo haikuwahi kuwa na advance, yaani ndiyo tunaenda kuifungua, ina 0 level ambao matokeo yao tu ya form 4 mwaka jana hayakuwa mazuri, haina walimu wa kutosha masomo ya science(3). Lakini mbaya zaidi ninaenda kusoma pcb, nimefuatilia michakato ya uhamisho imeshindikana, nifanyeje?
 
Kijana tafuta story ya Hamis Kigwangala ipo humu,isome itakusaidia.Kifupi tu nenda katengeneze historia.kama unataka msaada wa materials,past papers nk nitafute.
 
Kuna mtoto wa jirani kapangiwa shule ya Day huko Mbeya na hana hata ndugu wa kukaa kwake. Naomba utaratibu wa kumpeleka shule ya Bweni.
 
Back
Top Bottom