Mzeya njoo tujenge apartment za airbnbtule hela za wagegedajiHabari wana JF. niende straight kwenye mada. Nina kiwanja kina ukubwa wa sqmtr 405 maeneo ya mbezi beach goig upande wa juu. Ndani ya kiwanja kuna nyumba la zamani au niseme ni gofu sasa nilikua nataka kupaendeleza na pesa hiyo sina nafikiria niingie bank sababu ni sehemu ukipafanyia planning nzuri panalipa sana kwanza ni karibu na barabara ya bagamoyo ukijnenga vyumba hivi vya kisasa panalipa sana ila pia naweza nikakodisha kama shule au hata hospital mtu atapiga sana hela. Swali je nitafute mtu tuingie mkataba au niingie nichukue mkopo bank nipaendeleze na kuna risk zake zikoje? Hati ninayo.
Usikooe bek wezi tuu watakuloga ushindwe kurudisha mkopo wachukue hicho kiwanja. Usikopeeee utalogwaaaaRisk ya kukopa ndio ndio naogopa nisinge nikaipoteza nyumba yangu labda kuna mtu mwenye uzoefu wa kukopa sababu ya ujenzi wa apartement za kupangisha?
Hii naogopa sana maan unajikuta wanachukua nyumba yako japo rent za kule chumba jiko sebule na choo tu si chini ya 400,000 ukiipaweka vizuri nikiwa nazo japo nne si habaKukopa ili ujenge sio ushauri wachawi wale lazima utashindwa kulipa watachukua mali yako kwa hasara.
Bora kiache tu huko mbeleni hata watoto watakuja kukiendeleza
Yote ni maisha Kama umechanga karata vizuri kopa wapangaji watakusaidia kulipaHii naogopa sana maan unajikuta wanachukua nyumba yako japo rent za kule chumba jiko sebule na choo tu si chini ya 400,000 ukiipaweka vizuri nikiwa nazo japo nne si haba