Ushauri na mawazo yenu ni muhimu hapa

Ushauri na mawazo yenu ni muhimu hapa

Jeff Pole na tatizo lako.. So far unaonekana really genuine na unampenda mpenzi wako inawezekana kwa dhati kabisa.
Naomba nikupe warning kuwa tabia uliyo nayo ndivyo ulivyo, huwez acha kumfuatilia mpenzi wako kwa karibu for whatever reasons zipo ndani ya roho yako. Una wivu kwa mpenzi wako haliwezi epukika.

Baada ya wewe kumkwaza ilitakiwa uwe wazi kabla ya kuomba msamaha. Maana ya kuomba msamaha ni kuwa unakubali lile ulilofanya ni kosa… Ungeelewa mapema ilitakiwa umuombe mkutane faragha na umuweke wazi…Baada ya kukutana nae ilitakiwa umwambie ni kwa nini unafanya hivo; kuwa sio kwamba unafanya hivo kumkomoa bali kulinda penzi lenu sababu unampenda sana.. Pia kumuelewesha unaelewa madhara ya anayofanya (kuchat, kutumia sana fb na the like) sababu umeshaona namna gani wanawake wanaingia mkenge kirahisi. Sababu ukweli unabaki pale pale..

Chatting ni mbaya sana, mara nyingi sana hupelekea katika mahusiano ama kulalana hasa kama una chat na opposite sex; tena watoto wa chuo, secondary ni victims vibaya mno hivo mimi naunga mkono wasi wasi wako, ingawa siungi mkono namna unatatua tatizo lako; inaonesha upo demandive. Baada ya kumweleza hayo alafu bado akakataa kupunguza walau kwa kiasi then hapo huna lako, hakufai… Tokana na ukweli kuwa yeye bado ataendelea na tabia yake na wewe utaendelea kuumia ndani ndani lakini bila kumwambia kwa kuogopa tu kumkwaza. Kuna linguine pia.. Tuingiapo katika mahusiano kuna vitu inatakiwa ku compromise – tumetofautiana hivo kuna vitu vya ku sacrifice ili kuwezesha mahusiano yawe imara na Amani kwa wote.

So far ushari naweza kukupa, kaa nae na pia uongee nae kwa kumpa UKWELI wa kwanini wewe wafanya hivyo ufanyavo then peaneni space hasa ukizingatia huu ugomvi ni wa mara ya pili. Baada ya muda kama bado wa mpenda mwambie tena na kabla ya kukubaliana wekeni mipika ya mambo ya msingi katika mahusiano.
 
  • Habarini wadau wa MMU
    Naombeni ushauri kwa hili, nimegombana na mpzn wangu jana nimejaribu kuplease but anaonekana kukaza usi wa kuvunja mahusiano, sababu ni kuwa namfuatilia sana analalamika kuwa hana uhuru kwani namfuatilia sana kwenye simu na facebook kwa watu anaochati nae, na sasa yuko chuo na nimemsaidia sana kipindi cha kwanza wakati anaripo chuo mana wazazi wake hawakuwa vizuri kifedha wakati huo, nimekuwa nae karibu sana kwa muda wote huo, kiukweli naweza kusema ni mwaminifu kiasi mana amekuwa muwazi kwangu kwa kila kitu, ila anapenda sana kuchati na nikifuatilia nakuta hakuna uhusiano wa kimapenz na hao anaochati, sasa amechukia na amewaomba ushauri wenzake huko hostel wakamshauri eti aachane na mimi kwani namfuatilia sana,na hii ni mara yapili kukosana but tulisameheana, nimemuomba msamaha sana lakini amekataa anasema ni mara pili nimerudia hivo ni tabia yangu hii anaogopa, jinsi alivyo ni mtu ambae si mwepesi wa kuchukia but ni mgumu kusamehe akishachukia, naombeni msaada wenu wadau, nimvutie muda afu nirudi tena kuomba msamaha au nipotezee? mana kwa sasa niko mbali nae ila nimemwahidi kwenda wikiend ijayo lakini amekataa, hayuko tayari kuonana na mimi, hivyo nimemuacha pending kwanza! nataka nikienda ndio nimwambie kama nimerudi so nimuone, nipeni ushaurini ndugu zangu,
    ​

Mkuu inabidi upate tiba kwanza kama alivyoshauri BADILI TABIA ndio utafute suluhu na mwenzi wako
Ningekushauri uwasiliane na AshaDii kwa PM lakini anaweza kukunyooshea mambo.
 
Last edited by a moderator:
Piga chini angalia ustaarabu mwingine, huu si wakati wa kulazimisha mapenzi na inavyoonekana huyo dada hana mapenzi ya kweli na wewe na yuko nawe akiwa anangojea right man wake atue so haina haja ya kupoteza muda maana pia sijaona kosa ulilotenda hapo, wivu ni sehem ya mapenzi na asiye na wivu nawe basi hakupendi, piga chini tulia utapata right girl
 
Kama anampenda lazima ambembeleze unaweza kusema wasichana wamejaa kumbe hakuna wasichana bali wasinjaa, na unawezaona kuwa wako wengi wanaokutaka kumbe hawakutaki ila wanataka pochi yako tu. my bro we bembeleza tu atakuelewa.

asante mdida, nimeongea nae na kumbembeleza anaonekana kulegeza kamba, amenipa nafasi ya kukaa na kuongea nae this weekend, ndio nitaenda huko chuoni kwao, ila nataka kumwambia nilale nae wikiend hii ili tuweze kuongea kwa uhuru, hapo vipi nitamboa? ingawa simanishi ni lazima 2sex, ila nilipenda nikae mazingira kama hayo ndio niongee nae sijui kama atakubali,
pia nafikiria kumpelekea kazawadi ili nimpoteze hasira zake, ni vyema nikaipeleka hiyo zawadi ai nikamchukue twende wote dukani?
 
Wivu kwenye mapenzi ni kitu cha kawaida ila ukizidi sana huweza kuharibu penzi. Kama unampenda kiasi hicho endelea kuomba samahani huku ukimuhakikishia kwamba utaachana na huo wivu wako uliopitiliza. Kila la heri.
umesomeka BAK, niko kwenye mchakato
 
Mkomalie Hivyohivyo, Kwani Risk Ni Ndogo Kuliko Ukipending!!
Rafiki/watu Wake Wa Karibu Wawe Kombora Lako La MwishoMwisho!
Pole Sana Mkuu!

hilo namaliza ili akandamizie kabisa amshushe pressure kabla sijaenda
 
hivi unaju ukikompliket mapenzi nayo yanakukoroga mapaka utajuta kuyafaham mapema....sikuhiz mtu akizingua chapa lapa jua kunamjanja anafanya mambo
 
Hivi dunia hii ilivojaa wasichana bado 2 kuna watu mnahangaika kubembeleza wasichana wasiowataka?

nimekizoea bhana, kitu hakina harufu usiku mzima, kitu safi tuu, huko nje nakutana na harufu za ajabu, ya nini shida hiyo? nakuwa nabahatisha kupata kitumbua kizuri kama hiki, ukiona bado nakitaka ujue kinalipa, huko nje mpaka nianze kutest tena khaaa!
 
Pole. Endelea kumbembeleza. Lakini na wewe jifikirie, una ubavu wa kukaa na mwanamke anaependa kuchat? Usije ukajipotezea muda, kama unajijua una miwivu ya kengemaji, ungemuacha dada wa watu. Unajua ni mwaminifu, why unaendelea kumfuatilia sasa?

ndio nimtambua uaminifu wake sasa, hapo mwanzo nilikuwa 50%, nimeprove na wanaume anaochat nao nikagundua nothing is going on between them
 
Pole ila angalia bwana inawezekana katika kumfuatilia huko huwa unamsimanga na hizo senti ulizomsaidia alipoingia chuo. Ikiwa ni hivyo aisee unakosea ukimsaidia mpenzio usimsimangie msaada wako you know ninachozungumzia hapa zile za.....mimi nimetoa pesa zangu kukuingiza chuo, na wewe unaniletea maroroso, oh mimi pesa zangu , oh mimi pesa.......kwa kweli hukera (na isitoshe hukumsaidia bure bali umemsaidia kwa kuwa unampenda na kama yeye hakukupenda na kukuruhusu umsaidie ungemsaidia lini?) So iwapo unafanya haya stop mara moja.

Mwisho wivu ukizidi hukera, hasa huo wa kufuatiliana mpaka kwenye masimu sijui emails ah utakufa kwa presha kabla ya siku zako. Mwombe msamaha na kumhakikishia kuwa hutorudia (But pia chunguza isikute kuna anayemtia kiburi cha kuto kukusamehe)
asante mwanajamii kwa ushauri wako, nimefuatilia kwa kiasi sijapata evidence ya mtu kumtia kiburi, nami nikampa uhuru wa kuongea kama amepata mtu aniweke wazi ili nikubaliane na maamuzi yake akasema hana mpnz isipokuwa ni mimi tu, il amechoshwa na hiyo tabia,na pia amekiri kuwa bado ananipenda ila nilimboa, ananiambia nimpe muda kidogo atulie labda atabadili mawazo ingawa amekubali nionane nae wikiebd hii
kuhusu kumnyanyasa kwa misaada ninayompa kwa kweli sijawahi, ingawa iliniuma sana mana ni siku chache tu nyuma nilimuachia simu ya ghara sana afu akanambia ameipoteza, iliniuma lakini nilinyamaza hata sijamuuliza tena kuhusu hiyo simu
 
pole sana mkuu, huko chuo ameenda lini? or ni mwaka wa ngapi?

jaribu pia kuwatumia marafiki zake kuomba msamaha kama unawajua nao wana nguvu sana kwa upande wa wasichana
ndio ameenda mwaka huu mkuu, nitafanya hivyo, nitaleta feedback Fpam
 
Kwa maelezo hayo inaonekana kuna dalili nzuri ...dawa ni kukomaaa na uwa mtulivu seems bado uko moyoni mwake....

mkuu asigwa, naleta feedback tena, amekubali kutoka nami tukaongee wikiendi hii ingawa bado anaonekana kuwa na msimamo wake uleule wa kutokuwa wapenzi, ila angalau nimepata nguvu ya kujipanga kwenda kumwaga sera na hapa bado sijamtumia rafiki yake aongee nae amconvice
 
Kiukweli sijawahi kuomba hela kwa mpenzi wala mume wangu kwa ajili ya kitu chochote, ila sipendi kabisa wanaume wanaokimbilia kusema huyu anataka kuniacha wakati nimemsaidia sana.................. hii statement huwa inaniudhi sana, na akiitoa mtu wangu wa karibu huwa anaipata ninavyomuwashia moto.
Ina maana ulikuwa una-invest? ulikuwa unaombwa au unatoa kwa hiari yako? hata kama ulikuwa unaombwa ulilazimishwa kutoa? yaani mtu akose kabisa uhuru wake sababu tu uliwahi kumpa hela? kwa nini ulikuwa unampa hizo hela? mbona wadada wapo wengi tu mtaani na hukuwapa hizo hela badala yake ukampa yeye? si ulikuwa unapata kitu in return?
khaaaaa! FP naona umekuwa mbogo, punguza munkari basi nimekuelewa, hata hivyo mimi sina tabia hiyo ya kukumbusha vitu nilivyompa, ila kiukweli inakera? kama mtu anakupa bila kuomba in mana anakujali
 
mkuu asigwa, naleta feedback tena, amekubali kutoka nami tukaongee wikiendi hii ingawa bado anaonekana kuwa na msimamo wake uleule wa kutokuwa wapenzi, ila angalau nimepata nguvu ya kujipanga kwenda kumwaga sera na hapa bado sijamtumia rafiki yake aongee nae amconvice

safi sana mkuu inaonekana karata zako unazichanga vizuri sana tena kwa umakini ... cha msingi keshakubali yaishe hizo nyingine ni protocol tuu...
 
kumsaidia imekua nongwa? Itakuwa unamnyanyasia msaada wako la sivyo usingeandika humu kama ulimsaidia......

Pili ndugu mambo gani hayo ya kufuatana fuatana mpaka facebook? Kwa nini hujiamini? Maana ukijiamini utamuamini na yeye pia......

Ushauri wangu huyo dada asikurudie....... In reality hakuna kitu kibaya kama kuwa na mpenzi anakufuatilia unachati na nani, unaongea na nani? Msg, nani kakupigia simu, nani amekuongelesha , emails etc inaudhi inaudhi inaudhi .....

Kumbuka ni mara ya pili unarudia huo mchezo....mwisho wa siku
utaanza kumchagulia marafiki..... Akimaliza chuo akapata kazi
itakuwaje? Au utamwambia awe mama wa nyumbani? INAKERA SANA KUWA NA MTU ASIYEJIAMINI KUTWA ANAKUCHUNGUZA UNAONGEA NA NANI UNACHATI NA NANI NANI KAKUTONGOZA

jiamini kijana


na ushauri kwako unahitaji upewe ushauri nasaa...muine Mtambuzi au dada AshaDii maana unakoelekea sio kwema

nimekuelewa, na wamekusikia mtambuzi na AshaDii
 
  • Habarini wadau wa MMU
    Naombeni ushauri kwa hili, nimegombana na mpzn wangu jana nimejaribu kuplease but anaonekana kukaza usi wa kuvunja mahusiano, sababu ni kuwa namfuatilia sana analalamika kuwa hana uhuru kwani namfuatilia sana kwenye simu na facebook kwa watu anaochati nae, na sasa yuko chuo na nimemsaidia sana kipindi cha kwanza wakati anaripo chuo mana wazazi wake hawakuwa vizuri kifedha wakati huo, nimekuwa nae karibu sana kwa muda wote huo, kiukweli naweza kusema ni mwaminifu kiasi mana amekuwa muwazi kwangu kwa kila kitu, ila anapenda sana kuchati na nikifuatilia nakuta hakuna uhusiano wa kimapenz na hao anaochati, sasa amechukia na amewaomba ushauri wenzake huko hostel wakamshauri eti aachane na mimi kwani namfuatilia sana,na hii ni mara yapili kukosana but tulisameheana, nimemuomba msamaha sana lakini amekataa anasema ni mara pili nimerudia hivo ni tabia yangu hii anaogopa, jinsi alivyo ni mtu ambae si mwepesi wa kuchukia but ni mgumu kusamehe akishachukia, naombeni msaada wenu wadau, nimvutie muda afu nirudi tena kuomba msamaha au nipotezee? mana kwa sasa niko mbali nae ila nimemwahidi kwenda wikiend ijayo lakini amekataa, hayuko tayari kuonana na mimi, hivyo nimemuacha pending kwanza! nataka nikienda ndio nimwambie kama nimerudi so nimuone, nipeni ushaurini ndugu zangu,
    ​
Je wakati mnaaanza mahusiano ulimpa msimamo wako kuwa huhitaj ajiingize kwenye mitandao ya kijamii kama hio?? na kama ndio bas ujue hana utii wala heshima kwako na kama utaendelea kulazmisha utakuja umia zaidi huko mbeleni!! Heri nusu shali kaka kuliko...........Kama hukumpa mashart hayo toka mnaanza uhusioano bas we ndo mwenye makosa! chagua moja usimame kiume uamue moja,Mapenz ya kulazimisha yana gharama kubwa sana hapo baadae!! Jiongeze,chukua ushauri then changanya na zako!!
 
nimemsaidia sana kipindi cha kwanza wakati anaripoti chuo mana wazazi wake hawakuwa vizuri kifedha wakati huo,

Jeff, Pole sana, ila nukuu hii haijakaa vizuri mkuu,
Ushauri wangu ni kuwa, fanya uchunguzi wa kina kujua kama ni anamaanisha
kweli kukuacha, kama ni kweli anamedhamiria hivyo ni vema ukaheshimu maamuzi yake, baadaye utakuwa na amani sana.
 
Jeff Pole na tatizo lako.. So far unaonekana really genuine na unampenda mpenzi wako inawezekana kwa dhati kabisa.
Naomba nikupe warning kuwa tabia uliyo nayo ndivyo ulivyo, huwez acha kumfuatilia mpenzi wako kwa karibu for whatever reasons zipo ndani ya roho yako. Una wivu kwa mpenzi wako haliwezi epukika.

Baada ya wewe kumkwaza ilitakiwa uwe wazi kabla ya kuomba msamaha. Maana ya kuomba msamaha ni kuwa unakubali lile ulilofanya ni kosa… Ungeelewa mapema ilitakiwa umuombe mkutane faragha na umuweke wazi…Baada ya kukutana nae ilitakiwa umwambie ni kwa nini unafanya hivo; kuwa sio kwamba unafanya hivo kumkomoa bali kulinda penzi lenu sababu unampenda sana.. Pia kumuelewesha unaelewa madhara ya anayofanya (kuchat, kutumia sana fb na the like) sababu umeshaona namna gani wanawake wanaingia mkenge kirahisi. Sababu ukweli unabaki pale pale..

Chatting ni mbaya sana, mara nyingi sana hupelekea katika mahusiano ama kulalana hasa kama una chat na opposite sex; tena watoto wa chuo, secondary ni victims vibaya mno hivo mimi naunga mkono wasi wasi wako, ingawa siungi mkono namna unatatua tatizo lako; inaonesha upo demandive. Baada ya kumweleza hayo alafu bado akakataa kupunguza walau kwa kiasi then hapo huna lako, hakufai… Tokana na ukweli kuwa yeye bado ataendelea na tabia yake na wewe utaendelea kuumia ndani ndani lakini bila kumwambia kwa kuogopa tu kumkwaza. Kuna linguine pia.. Tuingiapo katika mahusiano kuna vitu inatakiwa ku compromise – tumetofautiana hivo kuna vitu vya ku sacrifice ili kuwezesha mahusiano yawe imara na Amani kwa wote.

So far ushari naweza kukupa, kaa nae na pia uongee nae kwa kumpa UKWELI wa kwanini wewe wafanya hivyo ufanyavo then peaneni space hasa ukizingatia huu ugomvi ni wa mara ya pili. Baada ya muda kama bado wa mpenda mwambie tena na kabla ya kukubaliana wekeni mipika ya mambo ya msingi katika mahusiano.
umeeleweka AshaDii, shauri wako nitaufuata
 
Back
Top Bottom