Ushauri: Mwanamke wangu kanifanyia haya Je nimsamehe Kweli?

Status
Not open for further replies.
Hujatendwa wewe
Mnaishi kisimbe unashindwa kufanya maamuzi
Na ushahidi unao? Umechokwa hujiongezi tu? We mpango wako ni upi kwanza?
Miaka mi 5 bado hajafanya maamuzi ya kuoa au la inawezekana mwanamke anataka kujiongeza mana hamuelewi jamaa.Na kingine mwanamke mjamzito kwenda kutoa mzigo kwa mtu mwengine ambae si aliyempa ujauzito, mhh
 
Wewe ni kilaza mwenye kuongeza idadi ya wanaume. Unasubiri nini sasa au unalelewa nae
 
We dogo acha ufala Mimi mwanamke akinicheat Mara moja nikathibithisha imeisha hiyo
 
Habari wana JF

Kwanza nitangulize shukrani kwa yeyote aliyefungua uzi huu. Nina changamoto sana katika swala la mahusiano kwa mwanamke niliyekutana nae Dar na kuanzisha mahusiano. Tumedumu katika mahusiano kwa kipindi cha Miaka 5, muda huo wote tulikua tukiishi wote lakini atujaona. Na mwaka jana mwishoni tulibahatika kupata mtoto wa kike paka sasa mtoto ametimiza mwaka mmoja.

Twende kwenye Mada, Wakati nikiwa na uyo mwanamke alikua akinichit bila kujua. Lakin kunakipindi nilishtukia mambo yake nikaamua kuitrack simu yake. Nilingundua vitu vingi sana. Nikagundua ananisaliti nikapiga kimya. Sikuongea chochote. Siku moja usiku nimetoka kazini nakumbuka siku iyo niliondoka nyumban kwenda kazin hatukuwa sawa tulikwaluzana kwa mambo mengine kabisa. Niliporud usiku muda was kulala nikaenda kulala nikawanimemuacha sitting room nikochumbani muda sijui kinachoendelea huko nikatoka kwa kushtukiza nikakuta anachat na mwanaume mbaya zaidi nilingundua alishazini nae. Nakumbuka kutokana na jazba nilimpiga cjawai kumpiga but nilimpiga Sana, lakn yaliisha tukafanya suruhu yakaisha. Kwa kifupi uyu mwanamke mkikwazana kidogo yeye anachojua ni kuchit. Hata mbali na kuchit anaweza kukufanyia vituko tu ukasilike.

Tumeendelea na hayo maisha paka akapata ujauzito. Kipind Cha ujauzito. Kanichiti pia Mara kibao akiwa na mimbaa yangu paka nikajiuliza hivi iyo mimbaa no yangu kweli. Ukizingatia najituma kumtimizia mahitaji yake Kama mwanamke lakn mwenzangu yeye mkwazane anachojua kuchit. Wakati waujauzito nilingundua kalala na mwanaume siku iyo alikua anasubir nitoke niende kazini lakni wakati najiandaa nilikua namsemesha mwenzangu Yuko buz na simu kuchat. Nilipomkonya simu niliona anachat na mwanaume anasubir nitoke akalale nae mbaya Zaid mwanaume uyo anaforce aje kulala nae kwangu.

Nitaendeleza baadae kidogo nistor ndefu. Nahitaji ushauri
Mkuu..umefungwa pingu?
 
Una ujasiri mkubwa sana mimi siwezi eti mwanamke anichit alaf bado tu niendelee nae huo ni uzwazwa
 
Msema pweke mshindi, seems na wewe umecheat sana tu prolly na dharau juu ulimfanyia. As u said ukimkosea ndo anaenda cheat. So jirekebishe kwanza wewe. Then utaona na yeye atakuaje.
 
But still hakuna justification kwa alichofanya shoga etu no matter wewe umemkosea vipi. Yani kulipiza huko ndo na kwenda kuliwa kabisa mmh thats too much. Ila na wee una moyo. Me najua mwanaume hata akihisi tu its neva gonna be the same again sasa sembuse wewe na ushahid unao bt still upo tu. U one ina a million kwakwel
 
Pia kaa nae chini kwa upole umuulize shida nini hadi anafanya hivyo(unless u know exactly why she is doing that).

Sasa bruh naww too much 5yrs no dalili za ndoa. Itakua anataka ndoa huyo so analeta drama.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom