may b anahisi unaweza kuwa una ngoma ndo maana anakuogopa,nahisi atakuwa pia anamegwa kisela na wajanja manake haiwezekani akae long time hvyo bila kugongwa mzigo
Ulipokatisha huko nyumba ndogo uliomba msamaha kwa mkeo au uliashumu yeye ataelewa? Achana na Ego yako kaa chini na mkeo kiri naumwonyeshe kujutia kitendo cha wewe kutoka nje ya ndoa yao. Omba msamaha wa dhati. ikishindikana kajisemehe kwenye vikao vya wazazi.
Acha tu ndugu yangu nimeshakaa na mama yake..ubaya anamsapoti sana bintie mzani hauko balanced kabisa.
may b anahisi unaweza kuwa una ngoma ndo maana anakuogopa,nahisi atakuwa pia anamegwa kisela na wajanja manake haiwezekani akae long time hvyo bila kugongwa mzigo
Mhhhhhhhhhhh! Samaki kasusia chambo!!!!!!!
Cha kufanya ni kuanza kumvua UPYAAAAAAAA mkeo! Usizani kikao kimoja au 2 vitamaliza utata na machungu yake!
The easy way! (Kiss her A.)
Show her your remorse, sho her you have changed sio kw maneno tu. Eventually she will start to trust you again.
The Hard Way (Make her jelousy)
Tell her 1 last time your sorry na umeshamuomba msamaha mwaka. Na wewe bado kijana mdogo, hutaki kufa na pressure, and the way you see it kuwa yeye kakuchoka na huwezi kuishi kutegemea huruma yake ilhali hujui atakusamee lini. Enough is enough you are sorry 1000 times ila LIFE HAS TO GO ON! Wewe binafsi kuanzia kesho yake YOU WILL MOVE ON WITH YOUR LIFE WITH OR WITHOUT HER!!!!!!! Kama kumuoba msama Mola anajua umemuomba mwaka mzima. She left you no choice. Kesho unarudi asubuhi!, unaendelea kama hayupo!
EITHER WAY WHAT YOU DID TO HER WAS WRONG!