kwa style hii itaboaje...:heh:
you are a man/woman after my own heart...hilo ndo lilisababisha mwalimu wangu wa module ya fault finding aniite "jicho la mwewe"
kwa style hii itaboaje...:heh:
sema tuMkamulie maziwa yako kama unanyonyesha bibie!!trust me atatapika hatareee na hapo ndo utakua mwisho wa kua chapombe!! Ila hizi ndoa jaman mnavumilia mengiii
fungua bar home. ikifika SAA kumi na mbili jioni wewe na binti zako mnaingia Kwenye vazi nusu uchi.... watoto wa kiume wanachoma nyama..... Mbona baba ataipenda bar ya home na Raha, furaha na amani vitaongezeka mara dufu ndani ya nyumba yenu
La zaidi mama kwa vile yeye ndo atakuwa kaunta atakuwa anapanga muda wa kufungua baa na kufunga ili kupisha ratiba ya kuunganisha vikojoleo mapema ili wawahi job.Ila ilo la kuvaa nusu uchi kwa watoto wa kike siliafiki pombe zikikamatia mahali pake anaweza akawafanya sehemu ya ndoafungua bar home. ikifika SAA kumi na mbili jioni wewe na binti zako mnaingia Kwenye vazi nusu uchi.... watoto wa kiume wanachoma nyama..... Mbona baba ataipenda bar ya home na Raha, furaha na amani vitaongezeka mara dufu ndani ya nyumba yenu
real???
aisee ila inaonyesha hana watoto wadogo na inaonekena kama hana mpanho wa kuzaa tena
UNAWEZA TUMIA MAZIWA YA MWINGINE?
Dah huyo inabidi utumie formula ya kupanda na kushuka unampandia huko ulevini sio kishari kwa upendo unagonga nae drinks taratibu unamuelekeza huku mkizipunguza day by day trust me atapunguza na kurudi kujali familia.
La zaidi mama kwa vile yeye ndo atakuwa kaunta atakuwa anapanga muda wa kufungua baa na kufunga ili kupisha ratiba ya kuunganisha vikojoleo mapema ili wawahi job.Ila ilo la kuvaa nusu uchi kwa watoto wa kike siliafiki pombe zikikamatia mahali pake anaweza akawafanya sehemu ya ndoa
Mjukuu sikujua we ni daktare... Mahari imeongezeka. Mkwe analo