Ushauri: Mume wangu huwika awapo ugenini pekee

Ushauri: Mume wangu huwika awapo ugenini pekee

tatizo watu wengi wanataka majibu mepesi wapatapo tatizo, hiyo inawezekana;
1. ni tabia ya ndani ya mume wake, kushindwa kuzuia hisia zake kwa wanawake wasio wake zake
2. ni matokeo aliyoyapanda mkewe kwa muda mrefu. haya ni matokeo baada ya mke kufanya mambo mbalimbali siku za nyuma.....mwanaume inawezekana hana pa kusemea ila anaumia ndani kwa ndani na kujitibu panapopatikana dawa. hayo ni matibabu yake. hapa mke ajipambanue mapito yake ya nyuma akatubu na kumwombea mumewe arudi kuwa wake peke yake. Kushindana ukiwa ndani ya ndoa always mwanamke ndio hushindwa....
Ushauri:
1. kwa imani yake; afunge akimwomba mola wake amsaidie
2. badili namna ya kuishi kwako haraka. boresha huduma zote kulingana na kipato chenu...(mwanamke ni jeshi kubwa, ana nguvu ya kubadili kuwa chema ama najisi kitu chochote ndani ya ndoa).....jisogeze karibu na mumewe.
sawa
 
vp ushapata wa kukutoa marinda ili upate mimba? au unataka upandikiziwe mbegu?
 
Yaani jamaa toka utamani kupata ujauzito nimekuwa mzito kusoma hata unacho post
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom