britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,165
- 47,865
Kumbe ni weweNimekusikia
Ntafanyia kazi
Ushaur wako
Barikiwa
Mo ana maisha yake..usimpangie..nyie chadema mbona mmetokea kujipendekeza sana kwa MO..mnadhani atawafadhili ufipa..?? Pesa za mzee sabodo mlifanyia nini cha maana??Mheshimiwa mbunge Mohamedi Dewji kwanza pole kwa matatizo ya kutekwa na wazungu wenye kuongea lafudhi ya wa tswana au zulu
Nakuomba uchukue muda wako kupitia vyombo vya habari na media, forums, na publications mbali mbali zinazoongelea kupotea kwako, najua waliokuwa wamekuteka hawakukupa simu kulogin tweeter, fb au hapa JF kwa akaunt yako ile,
1. Usimwamini mtu
2. Urafiki na masikini mwenye madaraka ni wa mashaka kidogo, mnaweza enda wote gym mkalishana keki kwenye birthday, na mkawa mnasapoti club moja lakin kwa tamaa zake akakufanyia mabaya,
3. Mkuu Dewj ongeza ulinzi kwako maana kama waliokuwa wamekuteka wanaweza kuona movie imechezwa vibaya au imebuma wakakumaliza kabisa,
4. Saport yako kwa watu ni kubwa lakin kuna wanaosema hujawahi kuwapa pole waliokuwa wanapotezwa, hivo nashauri kuwa active sana katika masuala hayo na kuonekana umesguswa na majanga saa nyingine kusaidia kabisa, mfano kutoa bilion moja kwa atakayegundua ben saanane alipo,
5. Usiwe unatembea mwenyewe wewe ni tajiri mkubwa mno, usimuache dereva hata siku moja,
6. Usikimbilie kuongea na vyombo vya habari bora ukakaa kimya kwa muda mpaka psychologicaly utakavyopona
Britannica
Mi siyo CHADEMA na sijawahi kuwa CHADEMA, yaan nitake radhi kwanzaMo ana maisha yake..usimpangie..nyie chadema mbona mmetokea kujipendekeza sana kwa MO..mnadhani atawafadhili ufipa..?? Pesa za mzee sabodo mlifanyia nini cha maana??
Then Pesa za Sabodo muulize mwenyekiti wao mbowe si mimi hayanihusuMo ana maisha yake..usimpangie..nyie chadema mbona mmetokea kujipendekeza sana kwa MO..mnadhani atawafadhili ufipa..?? Pesa za mzee sabodo mlifanyia nini cha maana??
Nyie si ndio mko ufipa au hafiki kabisa anaishia bahari beach hotel tu??Then Pesa za Sabodo muulize mwenyekiti wao mbowe si mimi hayanihusu
Nitake radhiNyie si ndio mko ufipa au hafiki kabisa anaishia bahari beach hotel tu??
YaisheNitake radhi
Kumbe comrade Mo bdo ni Mbunge/????!!!!Mheshimiwa mbunge Mohamedi Dewji kwanza pole kwa matatizo ya kutekwa na wazungu wenye kuongea lafudhi ya wa tswana au zulu
Nakuomba uchukue muda wako kupitia vyombo vya habari na media, forums, na publications mbali mbali zinazoongelea kupotea kwako, najua waliokuwa wamekuteka hawakukupa simu kulogin tweeter, fb au hapa JF kwa akaunt yako ile,
1. Usimwamini mtu
2. Urafiki na masikini mwenye madaraka ni wa mashaka kidogo, mnaweza enda wote gym mkalishana keki kwenye birthday, na mkawa mnasapoti club moja lakin kwa tamaa zake akakufanyia mabaya,
3. Mkuu Dewj ongeza ulinzi kwako maana kama waliokuwa wamekuteka wanaweza kuona movie imechezwa vibaya au imebuma wakakumaliza kabisa,
4. Saport yako kwa watu ni kubwa lakin kuna wanaosema hujawahi kuwapa pole waliokuwa wanapotezwa, hivo nashauri kuwa active sana katika masuala hayo na kuonekana umesguswa na majanga saa nyingine kusaidia kabisa, mfano kutoa bilion moja kwa atakayegundua ben saanane alipo,
5. Usiwe unatembea mwenyewe wewe ni tajiri mkubwa mno, usimuache dereva hata siku moja,
6. Usikimbilie kuongea na vyombo vya habari bora ukakaa kimya kwa muda mpaka psychologicaly utakavyopona
Britannica
[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe ni wewe
Mfafanulie pliesMpumbavu sana we
Mkuu unafaidika vipi na kutekwa kwa Mo? hata Salary Slip na Erythrocyte hawajakomalia hii ishu kama wewe. Ni wazi kupatikana kwake umekwazika sana.Mheshimiwa Mohamedi Dewji kwanza pole kwa matatizo ya kutekwa na wazungu wenye kuongea lafudhi ya wa tswana au zulu
Nakuomba uchukue muda wako kupitia vyombo vya habari na media, forums, na publications mbali mbali zinazoongelea kupotea kwako, najua waliokuwa wamekuteka hawakukupa simu kulogin tweeter, fb au hapa JF kwa akaunt yako ile,
1. Usimwamini mtu
2. Urafiki na masikini mwenye madaraka ni wa mashaka kidogo, mnaweza enda wote gym mkalishana keki kwenye birthday, na mkawa mnasapoti club moja lakin kwa tamaa zake akakufanyia mabaya,
3. Mkuu Dewj ongeza ulinzi kwako maana kama waliokuwa wamekuteka wanaweza kuona movie imechezwa vibaya au imebuma wakakumaliza kabisa,
4. Saport yako kwa watu ni kubwa lakin kuna wanaosema hujawahi kuwapa pole waliokuwa wanapotezwa, hivo nashauri kuwa active sana katika masuala hayo na kuonekana umesguswa na majanga saa nyingine kusaidia kabisa, mfano kutoa bilion moja kwa atakayegundua ben saanane alipo,
5. Usiwe unatembea mwenyewe wewe ni tajiri mkubwa mno, usimuache dereva hata siku moja,
6. Usikimbilie kuongea na vyombo vya habari bora ukakaa kimya kwa muda mpaka psychologicaly utakavyopona
Britannica
Hujamsoma britanicca vyema.Maskini Ana kitu gani Cha kumshauri Tajiri
Tajiri Hata kushauriwa kaajiri Mtu wa kazi hiyo
Wewe tushauri Maskini wenzio umuhimu wa kuvaa kofia ngumu tunavyopanda maboda boda yanayoendeshwa Na Wanywa viroba
Maskini Ana kitu gani Cha kumshauri Tajiri