rusesa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2013
- 538
- 233
Ni haki yenu kuwakumbusha polisi kuutii sheria bila shuruti kabsaaa.
Naomba msihangaike na kikao cha ccm dodoma, bali andaeni mkutano na nyie wa chama (chadema) na nyie hakikisheni viongozi wakubwa wa chama wanakuwepo wote mfano mbowe, lowasa, msigwa, n.k hiyo siku ya tarehe 23 ujumbe utafika kila mahali pale ambapo mtazuiliwa ili hali ccm wao wa kiwa wanaendelea na mkutano.
Hii itawaepushia fujo, kuvunjwa miguu, kuitwa wachochezi, kuitwa wavunjifu wa aman n.k
Huo ni mhimu kama mtauzingatia maana utafikisha kile mnachokitaka.
Hakika kwa kuandaa mkutano hapo hapo dodoma polisi watayala matapishi yao! maana mkuu wa polis ni mmoja, kamishina mmoja, sheria zile zile kwanini nyie msiruhusiwe kufanya mkutano na ccm waruhusiwe?
UOGA NI ADUI YAKO.
viva chadema viva ukawa!