IamPrince George
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 412
- 168
Apologize? C'mon! Why would he do that??Mliachana kwaajili gani?ulimtenda?She wants you to apologize and redeem yourself!!
Apologize? C'mon! Why would he do that??
Waliachana 'kiroho safi', don't matter who did what. Sasa anatukanwa halafu yeye ndio aombe msamaha?
Hakukuwa na matusi wakati wa mahusiano yet, hii ni baada ya kuachana
Rahisi sana, she has issues. Hakuwa na hizo hasira wakati wa kuachana, leo zimetoka wapi?Kama waliachana kiroho safi kwanini amuite malaya?Kuna kitu hakipo wazi hapa!!
Heh makubwa haya!!Huyo kuku wa kienyeji ulimuokota wapi?
Ndio mkome ku-date vinuka mkojo ona sasa tabu unayoipata hata baada ya kuachana...
Hebu mtafute umtie kerebu mbili tatu...
Wanapendana hao rafiki...na si kawaida watu kutukanana kama mliachaana kiroho safi kila mtu ana shika hamsini zake kimya kimya!!Rahisi sana, she has issues. Hakuwa na hizo hasira wakati wa kuachana, leo zimetoka wapi?
Hizi mambo za kawaida sana, sio bongo tu.