As ante kwa ushauri mkuu ntaufanyia kazi.Kibwenzi.. maana yake kituko au wavituko.
Nakushauli mfukuze huyo dada wa kazi tafuta mwenye maadili lasivyo unatafuta doa la kwenye ndoa, ambalo halitafutika na pia utaonekana kituko mbele ya jamii nzima.
Mwambie mkeo apige maarufuku mtu kuvaa kanga na yeye asivae kanga..Ndio maana nkaja uku kuomba ushauri.
Tafuna tu mkuu.....Mkuu ushaur wako sitaufanyia kaz.unataka nimtafune .
HahahahahaHakuna binadam anaeshika mimba haraka kama housegirl! Kuwa makini bro
Misfie hg kwa mkeo kila siku halafu akifanya yeye usimsifieWe jamaa unantafutia balaa , kwa jinsi alvyo inaonyesha ana muda mrefu haja duu
Unaona sasa....KulaaaaWe jamaa unantafutia balaa , kwa jinsi alvyo inaonyesha ana muda mrefu haja duu
mkuu...kwani ni uongo...si wapo manabii waliotembea na wajakazi wao..Only ant christ can say this
Kwan umeshaoa au bado uko bachela?Ndio maana nkaja uku kuomba ushauri.