Ushauri: Msichana anadai nimembaka ndotoni

Mleta mada jifunze lugha za wasichana. Itakuwa Mara nyingi amekuambia kupitia lugha ya mwili, lakini akaona humuelewi, sasa ametumia lugha ya sauti. Usipomuelewa hapa, atakuchukia sana!
 
Anatakiwa akulipe kwa kutumia wewe kujiridhisha shida zake
 
Akili za usiku, huyo ana lake jambo kwako sema anashindwa kufunguka
 
Ndugu yangu hizo ni swagg za yeye kukutaka kimapenzi, ongea naye vzr anakutaka ila anahofia kukutamkia. jiongeze
 
utoto raha sana endeleeni mkikua mtabakana kweli kweli
 
Ww na msichana wako MNA umri gan???
 
We nae kua mwelewa uyo anataka muanzishe mahusiano..ila ww unachelewa kusema
 
mm nmebakwa Mara 4 na Vanessa mdee lakn mbona sijamchukia aache utoto huyo
 
Muulize akiota ameokota hela halafu asubuhi akiamka hazioni anaenda kumdai nani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…