WHAT HE DOESNT KNOW CANT KILL HIM!!! CAN IT? Kumwambia ni part 1, na kuaminika ni part 2.
I bet u huyo dada lazima amesuka backup plan incase mkileta umbea na kimbelembele front chenu!
Ibet you keshamwambia mumewe mnamtongoza ila kawakataa, mkijiloga mkamuambia atajua aliyosema mkewe ndo yanatimia!
SIKU ZOTE ANAEWAHI POLISI NDIO MWENYE HAKI!!!!!!!!!!!
Aongee na huyo shem aliye mfuma kuwa kufanya kosa sio kosa ila kurudia kosa aachane naye huyo mwizi kwani hata sie wanaume tulio wengi ni majanga.Huwa hatushikwi tu.
Wanaume bwana....eti anauliza asiposema akifa? Suppose angekuwa ni huyo rafiki yake ndo anatoka guest na mwanamke mwingine, angeendamwambia mke wa mshkaji au la? Kama la je naye akifa?
Wanaume bwana....eti
anauliza asiposema akifa? Suppose angekuwa ni huyo rafiki yake ndo
anatoka guest na mwanamke mwingine, angeendamwambia mke wa mshkaji au
la? Kama la je naye akifa?
Kwanza pole sana kwa task ngumu ulionayo, msipozingatia mnaweza kuingia hatiani kama alivyoeleza Lara 1, apart from that, kumwambia rafiki yenu juu ya nyendo za mkewe ni bora zaidi, ukizingatia mtamfanya akwepe au akubali hatari ambayo inaweza kumtokea mbeleni, kiustaarabu mnapaswa kumwambia kilichotokea LAKINI mhakikishe mnaushahidi wa kutosha, kwa mawazo yangu, hizo sms alizomtumiwa huyo jamaa na kuombwa asiseme, zinatosha kuwa ushahidi. Mnachokifanya ni kumfanya jamaa (mmewe/rafiki yenu) ajue kinachoendelea, kama ni kumuacha au kuendelea nae hio si kazi yenu, msipomwambia jamaa, na yakamkuta majanga, ninyi mmesababisha kwa kiasi flan, then jamaa akitambua mbeleni kama mlikua mnajua nyendo za mkewe na mkamficha atawaona rafiki wanafiki. Khaa! Mke mwaka mmoja tu ameanza kurukaruka, ptuuuu!